SAFU »

10Jul 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

KUAMBIANA na kushauriana kupo lakini hawapo wa kusikiliza. Methali hii hutumiwa katika muktadha ambapo watu au mtu anapewa ushauri lakini haufuati.

10Jul 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAJI ni miongoni mwa huduma muhimu katika maisha ya kila siku, lakini upatikanaji wake katika baadhi ya maeneo nchini hasa ya vijijini umekuwa na changamoto, hali ambayo inasababisha watu kuhaha...

09Jul 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

SOKA la Tanzania lina matatizo mengi sana yanayosababisha  lisisonge mbele. Lakini kuna baadhi ya wadau, wakiwamo hata  viongozi wenyewe huwa wanajibu majibu mepesi tu, wanapoulizwa  sababu hasa...

09Jul 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

FAINALI  za Kombe la  Dunia  zimeingia kwenye  hatua ya nusu fainali.

08Jul 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, hebu sikia hii kali ya wiki. Katika baadhi ya familia, yupo mtoto/watoto wanaozaliwa ambao sura na hata maumbile yao havilandani (havifanani/lingani) na wengine.

08Jul 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

SUALA la mimba za mabinti ni janga la kitaifa linaloathiri maendeleo ya familia, ya taaluma kwani husababisha wanawake kuwa mambumbumbu, kisiasa linakwamisha ushiriki wao kwenye maamuzi ya siasa...

08Jul 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

FOLENI ni kero kubwa kama maradhi sugu yanayowatesa wakazi wa Dar es Salaam.

07Jul 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KICHWA cha makala kinaitahadharisha Yanga kuhusu michezo ijayo ya kimataifa kama itakavyokuwa pia katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Kwamba ijitunze au iangalie isijitie kijiti...

07Jul 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

INAWEZEKANA ni miaka mingi tangu kesi yako imefunguliwa mahakamani, lakini halifikii tamati, huku ukiwa,huelewi sababu za msingi ni nini hasa, kila unapoendelea kufanya bidii kuhudhuria unapigwa...

06Jul 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MARA zote na kwa namna mbalimbali, inajulikana kuwa chakula ni uhai. Ujumbe unaobebwa katika hilo ni kwamba, lishe ni nyenzo ya lazima kwa afya ya mwanadamu.

05Jul 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri, akimuondoa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba.

05Jul 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAA zimetapakaa kila mahali nchini. Kila kukicha zinafunguliwa baa na grosari, watu wanapata viburudiko unapofika wakati mwafaka.

04Jul 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNDI la wakulima ambalo ndilo kubwa kabisa nchini, bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali.

Pages