SAFU »

22Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA habari nyingi zilizopasua anga wiki hii nchini ambazo zinagusa moja kwa moja ustawi wa taifa, ambazo zimemvutia Muungwana.

21Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JULAI 8 mwaka huu, Mahakama Kuu ya Tanzania ilipitisha hukumu ya kihistoria katika suala zima la ndoa za utotoni.

20Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya masuala yaliyo katika mjadala mkali kwenye midomo ya watu wa kada mbalimbali katika siasa za Tanzania kwa hivi sasa, ni suala la Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyoanzishwa na...

20Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

Miriam Makeba ni mwanamke msanii ambaye aliyavutia mataifa mengi duniani.

19Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“JAWABU la kesho huandaliwa leo,” maana yake jibu utakalolitoa kesho litayarishe leo.

19Jul 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

KILIPOZINDULIWA kituo cha utamaduni cha Ufaransa- Alliance Francaise, jijini Dar-es-Salaam, kilichoambatana na maonyesho ya wiki mbili ya sanaa –kuchora, ufinyanzi na kuchonga-

19Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAHAKAMA ni moja ya mihimili ya dola iliyo na wajibu pamoja na mambo mengine, wa kuhakikisha raia wanapata haki zao za kisheria kama ilivyoanishwa ndani ya katiba.

19Jul 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KATIKA taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari Julai mwaka jana kuhusu ajali za barabarani, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alitaja vyanzo kadhaa vinavyochangia...

18Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MABINGWA wa soka nchini, Yanga imecheza mechi tatu za hatua ya makundi katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika huku ikiambulia pointi moja pekee na goli moja.

18Jul 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TANGU Simba ilipoingia katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2003, Tanzania ilikuwa haijaingiza tena timu yoyote katika hatua hiyo kwa miaka 12.

17Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

LENGO la nne la Malengo Endelevu ya Milenia (SDGs) ni elimu bora, ambayo utekelezaji wake ni pamoja na kuhakikisha mazingira ya kujifunzia kwa mwanafunzi ni bora kuanzia vifaa, walimu na...

17Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KILA mtu anajua namna nyumba za ibada na hasa makanisa ya walokole wa Kikristo yalivyozagaa mitaani, makanisa hayo sasa kwa kila moja walo yamekuwa yakitumia mbinu tofauti za kuwanasa waumini kwa...

17Jul 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI hii tunaendelea na fululizo wa makala zinazozungumzia mawe kwenye figo na ndani ya mfuko wa nyongo.

Pages