SAFU »

11Jun 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya Makidamakida kuachia ngazi licha ya kuvurunda njengo, walevi walidhani ubabe mjengoni ungekuwa ndiyo mwisho.

10Jun 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WIKI iliyopita tuliangalia kanuni tatu muhimu za fedha, ambazo mfanyabiashara wa ngazi yoyote ile ama mtu mwingine, anapaswa azitumie ili maisha yake ya kifedha yaweze kumnyookea.

10Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TATIZO la wanafunzi kunyanyaswa kwenye mabasi ya daladala jijini Dar es Salaam linaendelea kushika kasi siku hadi siku licha ya watu wengi kuonyeshwa kukerwa na mwenendo huo.

10Jun 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

TANGU kuanza kwa Bunge la 11 mjini Dodoma Watanzania wameshuhudia baadhi ya kauli za kutishiana na kuoneshana ubabe baina ya kiti cha Spika na wabunge wa vyama vya upinzani.

09Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Maisha ya zama hizi ni kwamba, matumizi ya vyombo vya usafiri ikiwemo barabarani ni ya lazima kabisa. Hayaepukiki kwa sababu ya umuhimu wake wa kurahisisha usafiri na usafirishaji kutoka eneo moja...

08Jun 2016
Restuta James
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

LEO macho na masikio ya Watanzania yataelekezwa bungeni Dodoma ambako Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, atakapokuwa anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2016/17....

08Jun 2016
Restuta James
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI sasa kila kukicha tunasikia simulizi za vurugu, kuumizana na mauaji, zenye sura zinazofanana na mandhari ya ujambazi.

07Jun 2016
Robert Temaliwa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKOSEFU wa daraja katika mto Mpiji wilayani Bagamayo kwa ili kuwaunganisha wakazi wa maeneo ya Dar es Salaam na Bagamoyo ni kero kubwa kwa wakazi hao hasa kipindi cha masika mvua zinaponyesha...

07Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LUGHA ya Kiswahili sasa yakaribia kutawala ulimwenguni kwani yazungumzwa na watu wa mataifa mbalimbali.

07Jun 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

MIONGONI mwa mambo yanayozungumzwa mara kwa mara ni dhima ya wasomi katika jamii hasa katika kuisaidia serikali.

06Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Soka Bara Yanga wanaongozwa na viongozi ambao si halali kwa mujibu wa katiba baada ya muda wao kumalizika tangu mwaka 2014.

06Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mjadala

WIKI iliyopita, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), na Kampuni ya Azam Media ziliingia mkataba kwa ajili ya kuonyesha matangazo ya moja kwa moja ya mechi za Ligi Kuu ya Wanawake na Ligi ya Taifa ya...

05Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

MARA nyingi tumezoea kushuhudia migogoro kwenye familia hasa inapotokea mmoja wa wanandoa anapofariki dunia.
Wajane na watoto huwa waathirika wakubwa baada ya ndugu wa marehemu kuwanyang’...

Pages