SAFU »

19Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na wimbi kubwa la ongezeko la gereji bubu, katika baadhi ya Mitaa nchini. 

18Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya mikoa ikiwamo Dar es Salaam, imekuwa na athari yake.

17Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilishaandika barua kwa vyama vya siasa na asasi za kiraia kuwasilisha mapendekezo kuhusu mabadiliko ya sheria mpya ya vyama vya siasa na kutaka mchakato wake...

17Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHUGHULI kubwa ya kiuchumi kwa Watanzania walio wengi nchini, kimsingi ni kilimo.

16Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOTAKA mwanao apate elimu nzuri kwa sasa yumkini shule binafsi zitakuwa ni mojawapo ya eneo utakaloliangalia.

16Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

 

‘ARIJOJO’ ni uendaji usio na mwelekeo mwafaka kwa kukosa kuongozwa au kupangiliwa vizuri; enda ovyo. Hali ya kupotea.

15Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2018 imemalizika juzi, visiwani Zanzibar kwa waliokuwa mabingwa watetezi, Azam FC kufanikiwa kutetea ubingwa wao.

14Jan 2018
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KATIKA kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha karibu nchi nzima, miundombinu mingi ya barabara inaharibika na kukwamisha au kusababisha watu na vyombo vya usafiri wanaopita katika barabara...

14Jan 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, mitafaruku ndani ya ndoa imekuwa ikishamiri kila uchao. Hizi ni zile ndoa zilizofungwa kwa chereko chereko nyingi zikionyesha matumaini ya kudumu kama kiapo cha ndoa kinavyojieleza...

14Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWANZONI mwa mwaka jana ulizinduliwa mradi wa kitaifa wa kuboresha ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulioitwa  ADGG. Lengo lilikuwa  kuwafundisha wafugaji mbinu zitakazowawezesha kuongeza uzalishaji wa...

13Jan 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KWA kiwango kikubwa uvunjaji wa haki za wanawake unatokana na mila, desturi na tamaduni za jamii na mataifa mbalimbali.

13Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“AKUTENDAE mtende, simche akutendae. Aliyekutendea ubaya wowote, hupaswi kumwogopa; nawe mtende hivyo. Methali hii yatuhimiza  tusichelee kuwalipa ubaya waliotutendea ubaya.

12Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAJUKUMU ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ni kuokoa maisha na mali katika majanga yatokanayo na moto, mafuriko, tetemeko la ardhi, ajali za barabarani pamoja na majanga mengineyo katika jamii. ...

Pages