SAFU »

18Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

JUHUDI za serikali na taasisi zake ikiwamo Shirika la Viwango Tanzania (TBS), za kuwaepusha wananchi na matumizi ya bidhaa zilizo chini ya viwango, ni moja ya hatua ambazo zinapaswa kuungwa mkono...

17Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“NGORONGORO Heroes kamili gado” ni kichwa cha habari kwenye gazeti maarufu la michezo nchini. Hii si mara ya kwanza neno ‘gado’ kuandikwa kwenye magazeti ya michezo.

17Apr 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIONGONI mwa vipaumbele ambavyo vimesimamiwa vyema na Rais John Magufuli katika kipindi chake cha miaka hii miwili ni eneo la maadili ya watumishi wa umma.

16Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

YANGA iko karibu zaidi kutinga hatua ya makundi ya Kombe la  Shirikisho Afrika (Caf) kuliko kutolewa.

16Apr 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inashirikisha klabu 16 kutoka mikoa mbalimbali ikiwa inaelekea ukingoni, tayari maandalizi ya msimu ujao yameshaanza kimya kimya kwa timu "zinazojitambua".

15Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KWA muda mrefu, serikali mkoani Dar es Salaam imekuwa ikijitahidi kuhakikisha gereji bubu zinaondolewa kwenye makazi ya watu, lakini bado baadhi ya watu wameendelea kuzifungua kiholela.

15Apr 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, changamoto ndani ya ndoa nyingi imekuwa ni wimbo usio na mwisho. Matokeo yake, unazua matatizo mengine yenye madhara makubwa zaidi.

15Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

KIKAO cha Bunge kinaendelea mjini Dodoma, kikitarajiwa kujadili na kupitisha bajeti ya mwaka 2018/19, ambayo ndiyo itakwenda kwenye utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na uendeshaji wa...

14Apr 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MAKALA hii ya leo inatokana na ‘Rasimu ya Andiko la Mpango wa Kampeni ya Utii wa Sheria za Nchi bila Shuruti’.

14Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOSHIKWA na mtu, shikamana au nawe jitahidi. Usiwe ‘mzigo’ kwa mwingine. Methali hii yaweza kutumiwa kwa mtu aliyepatwa na tatizo kisha akapata mtu wa kumsaidia. Humhimiza naye ajikakamue au...

13Apr 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WASWAHILI wana msemo asiyesikia la mkuu huvunjika guu.

13Apr 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

Bodaboda ni usafiri unaoturahisishia kwenda maeneo mbalimbali kwa wakati, lakini hatari yake ni kwanba inatutia ulemavu na wengine wanapoteza maisha.

12Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

NIANZE kueleza nilichokiona nikiwa safarini kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Dodoma, hadi safari yangu ilikogotea huko Kondoa Vijijini.

Pages