SAFU »

24Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 2014 Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliwahi kutoa taarifa kuwa idadi ya watu wanaoishi mijini inazidi kuongezeka mara tano kutoka asilimia 6.4 kuanzia mwaka 1967 hadi kufikia asilimia 29.6 kwa...

24Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, katika safu hii mara nyingi nimeandika vilio vya vijana kuhusu misukosuko wanayokumbana nayo katika mahusiano. Miongoni mwao wapo wanaoanza mahusiano, wanaojipanga kujiandaa kuoa,...

23Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ASIYEKIRI ushinde hakuwa mshindani.” Mtu asiyekubali baada ya kushindwa si mshindani. Methali hii hutumiwa kuwanasihi binadamu kukubali wanaposhindwa au kuukiri udhaifu wao.

23Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

NAONA yule anatikisa kichwa akidhani mibangi na ulabu vimeanza kunitia kichaa. Si wendaa au wenda wazimu, wala roho mbaya au kuwanga vinavyonisumbua kufurahia kutangaza kifo au vifo vya gendaeka....

22Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, katika ukanda wa Pwani zimekuwa na athari kwa baadhi ya wakazi na neema kwa wengine.

22Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

BAADA ya kumaliza mada ya dhamana za serikali iliyotuchukua kwa kipindi kirefu kidogo, leo tunaendelea kuangalia mojawapo ya eneo la msingi katika biashara, ambalo ni la wateja.

21Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya watu hutumia mwanya wa kupitisha bidhaa katika mipaka kwa njia za panya kutoka nje ya nchi, ambazo hazina viwango na ubora kwa mujibu wa sheria.

21Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

HAKUNA ubishi kuwa nyakati za asubuhi na jioni katika Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na tatizo kubwa la foleni ambazo husababisha watumiaji wake kutumia muda mrefu zaidi kufika waendako iwe...

20Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye kwa sasa ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, alitoa ahadi...

20Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

JUMANNE ijayo, Tanzania tutakuwa tunaadhimisha miaka 52 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964, hivyo kuzaliwa kwa Tanzania.

20Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMA nchi bado tunakabiliwa na matatizo lukuki, ndio maana hata kasi ya Rais John Magufuli, inawashangaza na kuwafurahisha wananchi kila siku kutokana na namna ‘madudu’ mapya yanavyoibuliwa.

19Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“RUFANI ya kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayomkabili wakili maarufu nchini, Median Mwale na wenzake watatu jana imeshindwa kusomwa na majaji watatu wa Mahakama Kuu, baada ya jaji mmoja...

19Apr 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

INANISHANGAZA zaidi kuwa, siku hizi kigezo kikuu cha mafanikio katika elimu kimeanza, na kubakia kuwa idadi. Tumetengeneza madawati kadhaa, tumedahili wanafunzi kadhaa,

Pages