SAFU »

08Aug 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NALAZIMIKA kuwapa kongole (shukrani; asante) viongozi wa Simba kwa jinsi walivyoiongoza timu yao na kukamilisha msimu uliomalizika hivi karibuni kwa kutwaa vikombe viwili na ngao mfululizo.

07Aug 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI sasa duniani ni miaka mingi imeshapita, elimu kuhusu umuhimu na usalama wa mazingira ni jambo muhimu sana.

06Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERA ya Maji ya Mwaka 1991, ililenga kuhakikisha ifikapo mwaka 2000, wananchi wote wawe wamekwishapata majisafi na salama, kwa kiwango cha kikidhi mahitaji yao.

05Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inawakumbusha wanasiasa kuwa makini wakati huu ambao hatua mbalimbali zinachukuliwa, kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28,...

04Aug 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATOTO wengi wa kike sehemu nyingi duniani wanakabiliwa na vikwazo kama kutothaminiwa katika jamii pale wanapoanzisha safari yao ya kuelekea utu uzima.

03Aug 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIPENGA cha mwisho kilipopulizwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jumamosi iliyopita, wachezaji wote wa Mbao FC walianguka chini, wengine wakiangua kilio kwa uchungu.

01Aug 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘TEMATO’ ni tema vizuri. Maana yake ukiamua kuchanja kuni zichanje vizuri. Methali hii yatufunza kuwa tuamuapo kufanya jambo lazima tufanye vizuri na kwa njia iliyo bora zaidi. Matumizi ya kiisho‘...

31Jul 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AFYA ni kitu muhimu katika mwili wa mwanadamu. Ndilo linamhakikishia binadamu afya bora na amani.

30Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HOSPITALI ya Rufani ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, inayojengwa mjini Musoma mkoani Mara, inatarajia kuwa kubwa na kuhudumia mikoa yote katika ukanda wa Ziwa Victoria.

28Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU mwishoni mwa wiki iliyopita, Watanzania wako ndani ya lindi la majonzi, wakiomboleza kumpoteza mstaafu Benjamin Mkapa, aliyeongoza taifa katika awamu ya tatu.

27Jul 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA baadhi ya wadau na mashabiki wa soka walikuwa wakihoji au kupinga kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20 ambao ulimalizika jana kwenye viwanja mbalimbali nchini.

25Jul 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘VIRUSI’ ni viini vinavyosababisha ugonjwa; pia ni programu za kompyuta zinazoharibu faili. *Viini ni wingi wa ‘kiini’ na maana yake ni sehemu zilizo ndani kabisa ya vitu kama vile watu au mayai;...

24Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHANZO kikubwa cha watu kukumbwa na saratani mbalimbali zikiwamo za koo, ngozi na nyingine nyingi, ikiwamo mlo: Kimsingi, ulaji kwa kanuni duni una hatari kubwa.

Pages