SAFU »

13Apr 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LEO ni kufa au kupona kwa timu ya Simba dhidi ya TP Mazembe zitakaporudiana kule Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kutoka suluhu katika mchezo wa kwanza uliochezwa wiki...

11Apr 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAKONDAKTA na madereva wa daladala jijini Dar es Salaam, wanalalamikiwa kwamba wananyanyasa wanafunzi kwa kuwazuia kupanda magari hayo na kusababisha ama kutowahi masomo shuleni au kurudi nyumbani...

10Apr 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTORO wa baadhi ya wanafunzi kwa shule za msingi na sekondari ni moja ya changamoto nchini ambayo kwa namna moja au nyingine inafanya wanafunzi hao washuke kitaaluma wakati mwingine.

09Apr 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA sekta nyingi zilizo muhimu kukuza uchumi wa mtu na taifa kwa ujumla wake.

08Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI hii Klabu ya Yanga imefanya harambee mjini Dodoma ya kuichangia timu hiyo ili kujiendesha kiuchumi.

06Apr 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAJUA kuwa ua ndilo lenye utamu, kwa nini ukanipa sumu? Huweza kutumiwa kwa mtu anayemfanyia mwenzake jambo baya ingawa analifahamu lililo zuri.

05Apr 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI iliyopita Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kitendo cha Elimu ya Afya kwa Umma, walizindua jukwaa lijulikanalo kama Naweza mkoani Iringa.

04Apr 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWISHONI mwa wiki iliyopita, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, alifungua na kuongoza kongamano la kwanza la kitaifa la Usalama Barabarani lililowahusisha wadau mbalimbali wa masuala...

03Apr 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UANDIKISHAJI wa wapigakura kwa majaribio kwa mfumo wa kielektroniki (Biometric Voter Registration (BVR), umeanza katika kata ya Kibuta Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na Kihonda Manispaa ya...

01Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA muda mrefu sasa, Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara ndiyo inayoongoza kwa malalamiko.

30Mar 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JAMBO linalosemwa au linaloongelewa juu yake ni lililopo. Lisilokuwapo halisemwi. Hutumiliwa mtu anayelikana jambo fulani kisha akawa hataki kukubali ingawa watu wengine wanaufahamu ukweli wake....

29Mar 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA zaidi ya mitano iliyopita, biashara ya nguo za ndani za mitumba ilipigwa marufuku nchini, lengo ni kulinda afya za wavaaji.
Hatua hiyo ilichukuliwa, kutekeleza matakwa ya agizo la...

28Mar 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DALADALA ni usafiri unaotumiwa na umekuwa ukitumiwa na watu wa makundi mbalimbali, kwa kuwavisha kutoka sehemu moja, kuwapeleka sehemu nyingine.

Pages