SAFU »

27Apr 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JAMBO linalosemwa huwa tayari limeshatokea au kama sivyo karibuni litatokea. Methali hii hutumiwa kumnasihi mtu mwenye tabia ya kuyapuuza mambo anayoambiwa na watu wengine kwa kuyaona kama upuuzi...

25Apr 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTUNZAJI mazingira unatakiwa kuangaliwa na kila Jamii, katika kila mahali. Hapo lengo ni kuepuka matatizo ya kiafya inayoweza kuikabili sehemu husika .

24Apr 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeanza maboresho ya daftari la wapigakura kwa ajili ya uchaguzi wa Novemba mwaka huu na Oktoba mwakani.

23Apr 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIMO ndiyo sekta ambayo inaajiri takribani asilimia 70 ya Watanzania, takribani milioni 55 kwa hivi sasa, wengi wakiishi vijijini kwa mujibu wa takwimu kutoka vyanzo mbalimbali nchini.

22Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

HATIMAYE timu ya Simba imetolewa kwenye hatua ya robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1 dhidi ya TP Mazembe ikiwa ugenini.

20Apr 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KISHERIA zipo sababu mbalimbali, ambazo kwa namna moja au nyingine, zinachangia kubatilishwa mkataba wa ajira baina ya mwajiri na mwajiriwa. Msingi wa mambo hayo, umejengwa katika Sura ya 366 ya...

20Apr 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LAHAULA! (neno linalodhihirisha mshangao au sikitiko; tamko linalotumiwa na mtu anapotanabahi baada ya kusahau au kushtukia jambo). Ndivyo Simba na Yanga zilivyotuharibu hata kutokuwa na mapenzi...

19Apr 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

ALIZETI ni miongoni mwa mazao muhimu ya biashara, ambalo kilimo chake kinazidi kuenea mikoa mbalimbali nchini na inawezekana kwa namna moja au nyingine, linachangia kukuza uchumi wa wananchi.

19Apr 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU ni ufunguo wa maisha kwa kila mtu.

Lakini, kinachomsaidia mtu kujua kusoma na kuandika, ni pale anapopata fursa ya kusoma shule na akafuatilia masomo kwa hatua.

18Apr 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA usemi kwamba mtoto umleavyo, ndivyo akuwayo. Ni usemi wenye maana kubwa katika vizazi vilivyopo na vijavyo na huko nyuma tulikotoka.

17Apr 2019
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI muda mrefu wadau wa usafiri wamekuwa wakipigia kelele Sheria ya Usalama Barabarani ya Mwaka 1973, ifanyiwe marekebisho yanayoendana na wakati uliopo.

16Apr 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATI ya kazi zenye changamoto nyingi ni ya ualimu.

15Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZAIDI ya miezi sita sasa kumekuwa na msuguano kati ya Klabu ya Yanga na kipa wao, Beno Kakolanya.

Pages