SAFU »

12Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUMBAKU ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo serikali imetangaza kuyapa kipaumbele katika uzalishaji wake, lakini zao hilo lina changamoto kubwa, ikiwamo kusababisha madhara kwa wavutaji wa...

11Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

UTORO ni miongoni mwa changamoto zinazozikabili shule mbalimbali nchini zikiwamo za umma nchini, hali ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kuchangia kuzalisha wanafunzi mbumbumbu.

10Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

SEHEMU ya tisa ya Kifungu Namba 114 cha Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004, inahusu usimamizi wa taka ngumu kwenye ngazi ya serikali za mitaa. Sehemu hii inazipa nguvu mamlaka hizo...

10Apr 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni nilifanya mahojiano na Profesa Issa Omari kuhusiana na wito alioutoa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wa kuwa na mjadala wa kitaifa utakaoshirikisha makundi yote ya jamii.

10Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

BUYU linaloonekana kali kwa mtu mmoja ni muhimu kwa mtu mwingine. Methali hii yatufunza kuwa vitu tunavyoviona vibaya au visivyo na faida kwetu, vina faida kwa watu wengine.

09Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

IKIWA na wachezaji wengi chipukizi, timu ya Yanga Jumamosi  ilifanikiwa kuifunga Welayta Dicha ya Ethiopia mabao 2-0 kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

09Apr 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa inaelekea katika hatua za lala salama, hali imekuwa tete kwa timu za mikoani ambazo ziko mkiani katika msimamo wa ligi.

07Apr 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KIMSINGI, ni vigumu sana kutoa maana ya moja kwa moja ya neno ‘Haki.’ Lakini, tafsiri yake nyepesi na ya haraka ni dai lolote lile la msingi kwa mujibu wa kanuni na Sheria, (ikiwemo Katiba),...

07Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KICHWA cha makala yangu ya leo ni methali ya kutumiwa kwa mtu anayejitia kuifanya kazi fulani kwa vishindo na makeke na hatimaye kushindwa kuimaliza kazi hiyo. Methali hii yaweza kutumiwa kumsuta...

06Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TATIZO la mimba za utotoni bado ni changamoto kubwa, ambayo kila Mtanzania anawajibika kushiriki kuwalinda watoto wa kike, ili waweze kupata elimu na hatimaye kutimiza ndoto zao za baadaye.

05Apr 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kwa kukiri kwamba bodaboda ni usafiri unaoturahisishia kwenda maeneo mbalimbali kwa wakati, lakini hatari yake ni kwanba inatutia ulemavu na wengine wanapoteza maisha.

04Apr 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MKUTANO wa 11 wa Bunge la Bajeti ya serikali kwa mwaka 2018/19, ulianza jana mjini Dodoma.

04Apr 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

WIKI iliyopita katika safu hii, tulianza kumuangalia mmoja wa viongozi wa kizazi cha kwanza kutokea katika bara hili la Afrika, Antonio Agostinho Neto ambaye aliongoza mapambano ya vita vya...

Pages