SAFU »

04Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI nadra sana unapotumia Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), mzigo wako kuachwa salama bila kudokolewa vitu vidogo vidogo.

03Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

ILI taifa lolote liendelee linahitaji kuwa na vyanzo vipya vya mapato, kukusanya kodi ipasavyo sambamba na kutoa elimu kwa umma juu ya umuhimu wa kulipa kodi.

03Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

WATANZANIA kindakindaki wanaojifanya Waingereza weusi, sasa wanalazimisha maneno ya Kiingereza yasomeke kwa Kiswahili ingawa maneno ya Kiswahili yapo mengi.

03Apr 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YUMKINI katika dhamira ya kuwaletea maendeleo wananchi, serikali imekuwa ikitumia kiasi kikubwa cha rasilimali kujenga miradi mikubwa na ya aina yake.

02Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NINAVYOFAHAMU mimi ni kwamba klabu yoyote duniani inaanzishwa  kwa ajili ya kupata mafanikio.

02Apr 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

IMEKUWA kawaida kila msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara unapokaribia kumalizika, tetesi za wachezaji kusajiliwa huanza kutawala katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.

31Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘NENO’ ni mpangilio wa sauti zilizoandikwa au kutamkwa zenye kubeba maana. Umbo la lugha lenye maana linaloundwa na sauti au herufi kadha. Kwa mfano neno ‘kuku’ limeundwa na sauti /k/,/u/, k/ na /...

30Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MABASI ya mwendo wa haraka ambayo ni maarufu kama mwendokasi yalianza rasmi kutoa huduma ya usafiri Mei mwaka 2016, kwa kutumia barabara maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya mabasi hayo.

30Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

 UBUNIFU na ugunduzi ndiyo nguzo kwa taifa lolote linalotaka kukua kisayansi na teknolojia, ndiyo maana nchi zilizoendelea kama Marekani zinapobaini kipaji cha ugunduzi na ubunifu wowote...

29Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAKWIMU za Shirika la Uangalizi wa Misitu Duniani (Global Forest Watch-2016), zinaonyesha kuwa kuanzia mwaka 2001 hadi 2016, Tanzania imepoteza ekari 1,999,704 za miti na kwamba hali hiyo...

28Mar 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

MOJA ya kanuni bora za kufanikiwa katika biashara yeyote, ni ile ya kumjali mteja.

28Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WALIMU wamekuwa wakihimizwa kutoa adhabu kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa na serikali katika Waraka wa Adhabu wa Mwaka 2002, ambao unaeleza aina ya adhabu ambayo mwanafunzi anastahili kupewa...

27Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOTISHA katika sehemu yoyote, inajulikana kuwa kichocheo cha mabadiliko ya kiutendaji katika sehemu husika.

Pages