SAFU »

27Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“MKATAA ya kuchinja hupata ya kunyonga.” Maana yake anayekataa nyama ya kuchinja hupata ya kunyongwa. Methali hii yaweza kutumiliwa watu wenye tamaa ya kutamani makubwa kisha wakaishia kuambulia...

26Mar 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

BAADHI ya mashabiki wa soka Tanzania hivi sasa wamebaki kuwa watu wa kulalamika na kulaumu tu.

26Mar 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake maarufu Twiga Stars iko kambini kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.

24Mar 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

RAIS mstaafu na  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Benjamin Mkapa, ametoa angalizo kuhusiana na mustakabali wa sekta ya elimu nchini, ameona kuwa kuna janga ,  akishauri uitishwe mdahalo wa...

24Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TATIZO liko wapi kati ya hao waitwao ‘Nyota wa Tanzania’ (Taifa Stars) na walimu wao? Mbona timu yetu ya taifa imegeuzwa ‘jamvi la wageni’ ambalo huwa maalumu kwa wageni?

23Mar 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USALAMA barabarani kama ilivyotamkwa awali, ni dhana ya kunusuru mali na watu. Hapo inamaanisha, vyombo vya moto, afya na hatima ya uhai wa wahusika, wawe madereva au abiria.

22Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BINFASI niko katika imani kwamba,ni aibu sana kuona mvua zinanyesha mpaka watu kuzikimbia ofisi zao.

21Mar 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

NIMEBAHATIKA kutembelea mikoa mingi hapa nchini, miji na maeneo maarufu katika ngazi mbalimbali.

21Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya mambo ambayo yamekuwa yakichangia kuwapo kwa migogoro ndani ya vyama vya siasa ni baadhi ya makada wanaoona wako juu ya chama na kusababisha mgawanyiko miongoni mwa wanachama.

20Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“AKILI nyingi huondoa maarifa.” Kujitia werevu mwingi huweza kuondoa  busara aliyo nayo mtu akaishia kuyaharibu ayafanyayo. Hutumiwa kumkanya mtu anayepuuza ushauri anaopewa kwa kujiona ana akili...

20Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAGARI binafsi yanayosafirisha abiria mijini mengi yakiitwa daladala yamekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya usafirishaji, lakini hata hivyo, yanakabiliwa na changamoto nyingi.

20Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

UBUNIFU na ugunduzi ndiyo nguzo kwa taifa lolote linalotaka kukua kisayansi na tekonolojia, ndiyo maana nchi zilizoendelea kama Marekani zinapobaini kipaji cha ugunduzi na ubunifu wowote...

19Mar 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) kimemsimamisha refa Mfaume Ali Nassor kwa muda kupisha uchunguzi dhidi yake juu ya tuhuma za rushwa.

Pages