SAFU »

28Oct 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

UNAPOPATA nafasi ya kuzunguka mitaa mbalimbali kwenye maeneo ya mijini, utakuta makundi ya watoto wadogo wa kuanzia umri wa kwenda shule wamesimama kandokando ya barabara wakiomba msaada wa fedha...

27Oct 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MIJI mikubwa nchini ikiwamo Dar es Salaam, wakazi wake wamekuwa wakijishughulisha na biashara mbalimbali wakati mwingine bila kujali mazingira ya biashara hizo, hali ambayo inaweza kuhatarisha...

27Oct 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HABARI kwamba juhudi za wadau kupitia Mkakati wa Lishe wa Taifa wa miaka mitano ulioanza mwaka 2011/2012 na kumalizika Juni mwaka huu zimepata mafanikio katika suala zima la lishe nchini, na hasa...

26Oct 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya mambo ambayo yamekuwa yakifanywa na baadhi ya wanachama wa vyama vya siasa na kuwafanya wale wasiokuwa na vyama kujiona kama wanatengwa kwa vile hawana vyama, ni uvaaji wa sare za vyama...

26Oct 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MWISHONI mwa mwaka jana iliibuka vuta nikuvute ya uchaguzi wa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Ilala na wa Jiji la Dar es Salaam kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda...

25Oct 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NILISOMA habari za binti mmoja huko Mwanza ambaye amekuwa akifanya mapenzi na baba yake mzazi bila hata kujua afanyaje kujiondoa katika tatizo hilo ambalo ninajua limekuwa likimuathiri...

25Oct 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya kumbukumbu nzuri ya shule za msingi na sekondari enzi ya utawala wa Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere, ilikuwa ni ile ya kuibua na kulea vipaji mbalimbali vya wanafunzi kwa manufaa ya...

25Oct 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MAJUZI nilikutana na watu waliokuwa wakielezana faida ya maji ya mvua. Walisema mara kadhaa ‘kuvuna’ maji ya mvua!

24Oct 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMATATU iliyopita, katika ukurasa huu, nilieleza mawazo yangu kuhusu kuwajibika kwa Jeshi la Polisi kutokana na uharibifu uliojitokeza kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa mechi...

23Oct 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

UGUMBA au utasa ni ile hali ya mwanamke kushindwa kushika mimba baada ya kujamiiana bila kinga au kutumia njia ya uzazi wa mpango.

23Oct 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo hebu tujadili kidogo tatizo linalowatatiza watu wengi ; Roho ya Ujinga.

23Oct 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya nguzo kubwa za rasilimali zetu muhimu hapa nchini ni utalii, yapo maeneo mengi ya asili yenye historia kubwa na muhimu kwa vizazi vilivyopo na ustawi wa kizazi kijacho.

22Oct 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA ya sitini kulikuwa na timu ya Kenya iliyoitwa Abaluhya FC ambayo sasa yaitwa Leopards FC.

Pages