SAFU »

05Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

KISWAHILI kina baadhi ya maneno yenye maana zaidi ya moja kutegemea maudhui yaliyopo.

04Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata gari tano za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na kushindwa kulipa deni la kodi mbalimbali.

04Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NI ukweli usiopingika kuwa Mungu ameijalia Tanzania kuwa na vipaji vingi vya wachezaji soka.

03Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI Msomaji, mwaka jana niliandika makala safu hii ambapo jamaa alikuwa akilalamikia tabia ya mkewe ya kutoa mambo ya ndani ya nyumba na kuyapeleka nje, mengine yakileta chuki kwa ndugu.

03Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI iliyopita tulizungumzia kuhudu ugonjwa wa fangasi na leo tunamalizi jinsi ya kujiepusha na tatizo hili. Kadhalika tutaanza sehemu ya kwanza ya makala vidonda tumbo…

03Apr 2016
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

HIVI karibuni Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa), ilitangaza ongezeko la maji na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari ikiwamo kutoa taarifa iwapo wataona bomba lilopasuka.

03Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

HII ni hadithi ya kweli iliyotokea miaka 40 iliyopita huko KIlosa mkoani Morogoro. Machi na Aprili mwaka 1976, familia yetu iliyokuwa na marehemu wazazi wangu baba Mwalimu Jaffar Mkambda na mama...

03Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

JUNI mwaka 2012, aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dk. William Mgimwa, alisema serikali ilikuwa imepoteza zaidi ya Sh. bilioni 5.4 kwa kulipa mishahara kwa watumishi hewa 9,949 katika kipindi...

02Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ASIYEONYWA huona kwa macho yake.” Maana yake mtu anayekanywa kisha akayapuuza maonyo yale huishia kufikwa na madhara.

02Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KASHESHE iliyotokea hivi karibuni kule kwa akina Omushuma aramu mushaija… ilimuacha mlevi hoi pamoja na mibangi na ulabu wake.

01Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Tangu aingie madarakani Rais Dk. John Magufuli, jambo ninalolitambua kuwa wazi zaidi ni ajenda yake ya utendaji kwa haki na uwajibikaji.

01Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

MADA ya uwekezaji kwenye dhamana za serikali, ambayo tunayo kwa wiki kadhaa sasa katika safu hii inaendelea.
Awali niseme tu kwamba, kwa wafanyabiashara wa ngazi zote walio na hamu ya kujua...

31Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

MATUKIO ya hivi karibuni kabisa yaliyotokea katika hospitali za mkoani Mtwara na Mwanza, kwa kile kinachoitwa udhalilishaji katika taaluma ya afya kwa namna yoyote ile,....

Pages