SAFU »

13Apr 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI dunia ikipitia kipindi kigumu cha mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19), huku ligi nyingi duniani zikiwa zimesimama, kuna maswali ambayo baadhi ya mashabiki wa soka nchini wamekuwa...

11Apr 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“FADHILA” ni jambo jema ambalo mtu humfanyia mwingine; hisani au wema anaofanyiwa mtu. Maneno ya shukrani kwa wema mtu aliotendewa.

10Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAMAA ya kutaka kupata mali, ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi, umbali wa shule na hasa sekondari za kata, ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia mimba kwa wanafunzi.

09Apr 2020
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USHIRIKI wa wanawake katika nyanja mbalimbali za maendeleo siyo wa kuridhisha, kutokana na mfumo uliowakuza wa kutokupewa nafasi stahiki, licha ya kuwa na sifa wakati mwingine zilizozidi kundi...

08Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya matukio makubwa na muhimu kwa taifa hili, ambayo yanatarajia kuwapo mwishoni mwa mwaka huu wa ni uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani.

07Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MBUNGE wa Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Antony Komu, ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na NCCR-Mageuzi.

06Apr 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAJUA kwa sasa suala hili limemalizika, lakini ni lazima lisemwe, liwekwe sawa na kisha kutolewa ushauri ili lisijirudie tena.

04Apr 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITU anachokipenda mtu au inachokipenda roho ya mtu huwa kama dawa yake.

03Apr 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ilitangaza kufunga shule za awali, msingi na sekondari kwa siku 30 kuanzia Machi 17, ikiwa ni sehemu ya kuikabili Corona
Ni hatua ya ghafla, iliyotangazwa na Waziri Mkuu Kassim...

02Apr 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUENEA virusi vinavyosababisha Corona, (COVID-19), kumetikisa dunia katika nyanja mbalimbali, ikiwamo, kijamii, kiuchumi, kisiasa na kimazingira.

01Apr 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA kati ya nyenzo muhimu za maisha ya binadamu ni afya bora inayompa mtu uwezo wa kufanyakazi na kuzalisha mali.

31Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHULE za awali, msingi hadi vyuo vikuu zimefungwa na sasa wanafunzi wako likizo ya ghafla iliyotangazwa na serikali kama njia ya kuepusha maambukizi zaidi ya virusi vya corona nchini.

30Mar 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA sasa viongozi wa soka duniani wanakuna vichwa vyao jinsi watakavyomaliza Ligi Kuu msimu huu wa 2019/20 ambao umekumbwa na tatizo la mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19).

Pages