SAFU »

28Mar 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILISEMWA na wahenga kuwa “fedha fedheha” wakiwa na maana fedha huweza kuleta mambo ya aibu baina ya binadamu. Methali hii yaweza kutumiwa kutuonya kuhusu maovu yanayoweza kusababishwa na fedha....

27Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MPANGO wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Fedha, unalenga kuleta mabadiliko chanya katika maeneo makuu manne, kupunguza vikwazo vya ushirikishwaji wa Watanzania kwenye mfumo rasmi wa fedha wa nchi....

26Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTOKANA na tishio la virusi vya corona, hatua mbalimbali za kukabiliana nayo inaendelea kuchukuliwa na serikali, ili kuhakikisha Watanzania wanabaki salama.

25Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KISWAHILI kina methali kadhaa zenye maana sawa kama 'umoja ni nguvu utengano ni udhafu, jiwe moja haliinjiki chungu na ndege wanaofanana huruka pamoja’ ambazo zinahimiza umoja.

24Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU bora ina faida kwa maisha ya kila mmoja na inachangia ukuaji wa uchumi, na ndiyo maana serikali katika nchi nyingi zinazoendelea na zilizoendelea elimu ni kipaumbele katika mipango ya...

23Mar 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA muda wa wiki nzima nilikuwa nasikia vipindi vya michezo kwenye redio mbalimbali nchini. Moja kati ya mada zilizokuwa zinavutia na zilizovutia wasikiliza wengi ni mchezaji wa Simba, Ibrahim...

21Mar 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MCHEZO ni jambo ambalo watu au timu hulifanya kwa kushindana ili kupata mshindi. Pia ni kazi ya sanaa ambayo huigizwa kwa ajili ya kuelimisha na kuburudisha watu.

20Mar 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILA wakati inajulikana kwamba, mkopo ndio mkombozi wa kila kitu katika sura ya maendeleo ya kijamii na kuchumi. Mtu anachukua na kisha akajipanga namna ya kuikabili.

19Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUGUSANA mwili kwa namna mbalimbali, iwe kupeana mkono au vinginevyo, mara zote inabeba ishara ya ‘yuko pamoja’ kwa upendo.

18Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MSINGI wa demokrasia unatajwa kwamba ni ushirika wa maridhiano, ambao unaweza kuunganisha pande mbili zinazotofautiana na hatimaye kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa.

17Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA miaka ya hivi karibuni kasi ya matumizi ya teknolojia ya mitandao ya kijamii, imekuwa ni kubwa, lakini ikiwa imegawanyika katika sura mbili, ambazo ni nzuri na mbaya.

13Mar 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MTOTO wa kike anakumbana na changamoto ambazo zinaanzia nyumbani au shule. Ni hali inayochangia hata kushindwa kusoma vizuri au kutohudhuria vipindi darasani.

12Mar 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na tabia kongwe na inayoendelea kujengeka kwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kupanda malori yanayosafirisha mchanga, wakati wanafunzi hao wanaenda na kurudi shule...

Pages