SAFU »

17May 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIPIGO cha mabao 4-0 ilichokipata Simba dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye Uwanja wa FNB nchini Afrika Kusini Jumamosi, kimezua maswali mengi kwa wanachama na mashabiki wa timu hiyo, wengine wakiwa...

14May 2021
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILA anayeletwa duniani, ni zao la wazazi wawili. Hivyo, hao waliochangia uzazi huo, wana wajibu wa msingi kuwalea kwa nafasi yote.

13May 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JANA ilikuwa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Manyara, yakiwa na kaulimbiu: “Wauguzi sauti inayoongoza, Dira ya huduma ya afya”.

12May 2021
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UANDISHI wa vitabu kwa Kiswahili ni kati ya mikakati inayoweza kutumiwa na Tanzania kukuza lugha hiyo kwa vile ni njia mojawapo inayokiwezesha kusomwa na kizungumzwa na watu wengi zaidi duniani....

11May 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTENGA muda wa kujisomea ni miongoni mwa njia zinazoweza kumsaidia mwanafunzi kujiandaa na kufanya vizuri katika masomo na mitihani yake bila kujali anasoma katika kiwango gani.

10May 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MASHABIKI wa soka nchini waliokwenda kuangalia mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, walijikuta wakirudi na maumivu nyumbani.

07May 2021
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI hii tumeshuhudia kusomwa Bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, ikipitisha zaidi ya shilingi trilioni moja katika matumizi yake kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao wa fedha, 2021/2022.

06May 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIKU cha zilizopita Tanzania iliungana na nchi nyingine duniani, kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani, ambayo ilikuwa na kaulimbiu isemayo: ‘Tumia chandarua kilichotiwa dawa kitatukinga na malaria...

05May 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KULIKONI Kasesela? Pengine ni kauli za mshangao pengine zilizosikika kutoka kwa wanaotumia mitandao baada ya kurushwa video inayomwonyesha Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela, akimtukana  ...

04May 2021
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni kuna video iliyozunguka kwenye mitandao kadhaa ya jamii, iliyowaonyesha  familia ya watu wanane waliotembea kilometa kadhaa bila mavazi, wakidai wanafanya hivyo kuitii mizimu.

03May 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AKIWA na hasira ya kufungwa, nahodha wa timu ya Prisons, Benjamin Asukile, baada ya mechi dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, aliongea maneno ambayo yamekuwa gumzo...

30Apr 2021
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MATUKIO ya ukatili tumekuwa tukiyasikia yanaendelea kutokea katika maeneo mbalimbali nchini na kuambiwa sababu za kufika huko.

29Apr 2021
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI Afrika inaadhimisha Wiki ya Chanjo, Tanzania, tunajivunia kutokomeza magonjwa kama ya donda koo, kifaduro, polio, pepopunda na surua.

Pages