SAFU »

14May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

WIKI juzi nilipoandika waraka wa kufurahia kutangaza vifo vya mafisadi kuna mafwisadi au makuwadi wao kama kumi na ushei hivi waliniandikia emails za matusi, wasijue nshatukanwa mitusi aina zote...

14May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘USIRI’ ni ajizi aliyonayo mtu katika kufanya jambo. Ndio maana wahenga walisema: “Ajizi nyumba ya njaa.”
Ajizi ni uzembe au ucheleweshaji wa kufanya jambo. Maana yake usiri wa kuamua au...

13May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU kuadimika kwa sukari baadhi ya Watanzania ni kama wamesahau utamu wa chai.Wameshindwa kunywa chai kwa sababu ya kuadimika kwa bidhaa hiyo muhimu katika maisha yao.

13May 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

TAHADHARI iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko kwamba, kwa sasa hali ni mbaya nchini, kutokana na kukithiri kwa vilainishi visivyo na ubora,......

13May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

KATIKA safu hii wiki iliyopita , tuliangazia fursa ya uwekezaji wa hati fungani zilizotolewa na benki ya NMB, kwa wananchi wa kada zote za maisha pamoja na wafanyabiashara.

12May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USAFIRI wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) umeanza wiki hii kwa majaribio ili kuwapa fursa watumiaji wapate uzoefu wa matumizi ya mfumo mpya wa usafiri jijini .Unatarajiwa kuanza rasmi...

11May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Mjadala

NI takribani miezi saba tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mpaka sasa amekwishafanya mambo mengi ambayo hakika anastahili pongezi ingawa safari yake bado ni ndefu.

11May 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NI wazi kwamba kazi zinazofanywa na serikali ya Rais John Magufuli, zinakubalika miongoni mwa watu wa kada ya chini.

11May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni Spika wa Bunge, Job Ndugai, aliwatangazia wabunge kuwa Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma inatarajia kupeleka muswada wa sheria bungeni ili kutenganisha biashara na uongozi.

10May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“KULIMA ni bangu, kazi ni tunga yataka mwengwangu wa kwenda na kuja. ‘Bangu’ ni faida au vita na ‘mwengwangu’ ni mwepesi. Maana yake kulima ni faida, kazi yataka mtu mwepesi wa kwenda na kurudi....

10May 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

TAARIFA za utafiti uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusiana na kubakwa kwa wasichana na askari wa jeshi la serikali ya Sudani Kusini na baadaye kulazimishwa kuingia kwenye makazi yao na nyumba...

10May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LUGHA ya Kiswahili inakua kwa kasi na kutambuliwa katika sehemu nyingi za dunia.Inafundishwa, kuzungumzwa na kuandikwa katika vyuo mbalimbali vikiwemo vyuo vikuu vya mataifa makubwa yaliyoendelea...

09May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAONA kama haitaki kubaki kama Azam FC. Inataka kuwa kama klabu za Simba na Yanga. Sifa za kuwa na mashabiki wengi nchini wasioisadia lolote lile zaidi ya kushangilia inaonekana imewakolea mno...

Pages