SAFU »

31Jul 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, tayari tumejadili wiki iliyopita mambo ambayo mume angependa mke ayazingatie! Leo tuone ‘nini mke anapaswa kufahamu kuhusu mama mkwe’!

31Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA hali ya kawaida, tatizo kubwa linaloweza kuwa kikwazo cha uadilifu katika utekelezaji wa sera za kibiashara ni wakati wafanyabiashara wenyewe wanapojenga mikakati ya kukwepa kodi, pamoja na...

31Jul 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

NAKUMBUKA maneno ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Godfrey Sansa, wakati akiwasilisha mada ya usalama wa barabarani, aliposema:

30Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘KAFARA’ kwa mujibu wa Kamusi la Kiswahili Fasaha la Zanzibar (Baraza la Kiswahili la Zanzibar ( BAKIZA) ni kitu kinachotolewa kwa mujibu wa sheria ya dini kuficha kosa lililofanywa. Pia ni uchawi...

30Jul 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

KWANZA, nimpongeze rafiki, kaka yangu na pengine msomaji wangu, rahis Joni Kanywaji Makufuli, kwa kuwatumbua walaji wa Shirika la Utafunaji wa Hifadhi ya Taifa ya Jamii au Nominal Social...

29Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

NI dhahiri unapofanya mabadiliko ya juhudi unazowekeza katika biashara, mwenendo wa biashara nao hubadilika.
Kama utaanza kuzembea kwenye biashara, haitachukua muda utaanza kuona faida...

29Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya maeneo ya kusaidia kufikiwa kwa mipango mbalimbali ya serikali ni tafiti.

29Jul 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

TANZANIA ni miongoni mwa nchi nyingi za Afrika, zinazoathiriwa na bidhaa nyingi zisizokidhi viwango vya ubora kwa matumizi au zinazoathiri afya ya walaji zinazozalishwa au kupenyezwa sokoni na...

28Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILA msafiri anapoanza safari siku zote matarajio yake ni kufika salama usalimi huko aendapo.

27Jul 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

KUNA kila sababu ya kuunga mkono hatua iliyochukuliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuanzisha ofisi za kanda katika mikoa ya Arusha, Mwanza na Mbeya ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji na...

27Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

*Alikuwa Chiriku wa Afrika na mpenzi wa nyimbo za jadi, jazi, pop rock na msanii, maarufu kama 'Mama Afrika'. Alifariki Novemba 10, 2008 akiwa na miaka76

27Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA eneo ambalo bado linavuta hisia za Watanzania walio wengi na ambalo serikali ya awamu ya tano imeonyesha nia ya kulivalia njuga kama mojawapo ya vipaumbele vyake, ni la elimu.

26Jul 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

HABARI za matukio ya ukatili wa kifamilia sasa sio jambo geni sana. Iliwahi kutokea siku moja , baba mmoja alimwalika mzazi mwenzake walioachana zaidi ya miaka mitatu kwenye sherehe nyumbani.

Pages