SAFU »

01May 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWEZI uliopita, serikali kupitia Bodi ya Sukari, ilitangaza bei elekezi ya sukari nchini ya Sh. 1,800 kwa kilo.

01May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika uchambuzi wa mada yetu ‘Nini maana ya Ndoa’, tulipata tafsiri fupi kwamba ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mume na mke kwa muda wote...

01May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

TIBA

Tulitaja baadhi ya dawa zinazotumiwa kukabiliana na tizo hili ni pamoja na kuondoa kinyesi kigumu kwenye utumbo mpana na kuanzisha uendaji wa haja kubwa ambao ni rahisi na usiokuwa na...

30Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘SHINDANO’ - nomino li/ya (ma) ni tendo la kupimana uwezo katika jambo kama vile mchezo; makabiliano yenye lengo la kuwania jambo baina ya pande mbili au zaidi.

30Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

BAADA ya kufichuliwa ukwepaji mkubwa wa njuluku kule Panama, nafanya mipango kwenda huko kuibua wafichaji wa Kibongo ambao wameponea chupuchupu kutotajwa japo wengi wengine bado wamo kwenye...

29Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MKOA wa Tanga umepata fursa ya kujengwa mradi wa bomba la mafuta kutoka Tanga hadi Uganda.Kimsingi hii ni fursa nyeti na adimu sana kuipata, kwani inalenga kuinua uchumi wa mkoa na Taifa kwa...

29Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

NI dhahiri unapofanya mabadiliko ya juhudi unazowekeza katika biashara, mwenendo wa biashara nao hubadilika.

28Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKIFANYA utafiti wa harakaharaka katika maeneo yanayouza bidhaa mbalimbali utabaini kuwa, baadhi ya Watanzania wengi hawana utamaduni wa kusoma maandiko yaliyoandikwa au kuchapishwa katika...

28Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

“TUMEZOEA…. ni sehemu ya maisha yetu sasa.Ukitaka kwenda sehemu ni lazima uondoke nyumbani lisaa limoja kabla ili ufike kwa wakati unakokwenda”

27Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

JUMATATU wiki hii Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Juma Assad, alikabidhi bungeni ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2015 ili ijadiliwe na wabunge...

27Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

JUNI 9, mwaka huu, serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, itawasilisha makadirio ya bajeti kwa kipindi cha mwaka 2016/17 bungeni mjini Dodoma.

27Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA wanaofuatilia masuala ya kisiasa nchini, kipindi hiki ndicho hasa huwa cha hamasa kubwa kutokana na wananchi kufuatilia vikao vya Bunge; na hasa katika kipindi hiki cha sayansi na teknolojia...

26Apr 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NADHANI ifike wakati taasisi za serikali, zikubali kuwa sio kila utekelezaji wa jambo ndani ya sheria ni haki na halali.

Pages