SAFU »

26Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NARUDIA tena kukumbusha methali ya “Mkataa kwao ni mtumwa.” Ni methali inayotukumbusha umuhimu wa kuzikumbuka asili zetu. Twapaswa kuwaonea fahari wazazi wetu au hata mataifa yetu.

25Apr 2016
Abdul Mitumba
Sema Usikike
TULIPO NA TUENDAPO

PAMOJA na serikali kuutetea, mfumo wa stakabadhi ghalani uliobuniwa takriban miaka mitano iliyopita, bado unapingwa vikali na wakulima kwa madai una kasoro nyingine za kisera zilizosababisha...

25Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AMA kweli ukishangaa ya Mussa utaona ya firauni. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeitangaza klabu ya Mbao FC ya Mwanza kupanda Ligi Kuu kutoka kundi C la Ligi Daraja la Kwanza. Mbao sasa...

24Apr 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
MZEE YANGA

NAPENDA mno methali za wahenga. Hawa ni wazee wa zamani ambao walijaa busara na hekima tele.

24Apr 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Jicho Pevu

KAMA ingekuwa Mbeya City ndiyo ingekuwa imefungwa dhidi ya Al Ahly mabao 2-1 na kucheza kama ilivyocheza Yanga kwenye mechi nchini Misri, kwa hakika ningewapa hongera na kusema wamejitahidi.

24Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, katika safu hii mara nyingi nimeandika vilio vya vijana kuhusu misukosuko wanayokumbana nayo katika mahusiano. Miongoni mwao wapo wanaoanza mahusiano, wanaojipanga kujiandaa kuoa,...

24Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI iliyopita tulianzisha mfululizo wa makala za tatizo la kujisaidia kwenye nguo za ndani badala ya kutumia choo linalowapata watoto ambao ni wakubwa.

24Apr 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

MVUA za masika zinazoendelea kunyesha nchi nzima, zimetoa fundisho kubwa hasa kwa upande wa miundombinu ya barabara baada ya kusababisha ajali na kupoteza maisha ya watu wengi.

24Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 2014 Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliwahi kutoa taarifa kuwa idadi ya watu wanaoishi mijini inazidi kuongezeka mara tano kutoka asilimia 6.4 kuanzia mwaka 1967 hadi kufikia asilimia 29.6 kwa...

23Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ASIYEKIRI ushinde hakuwa mshindani.” Mtu asiyekubali baada ya kushindwa si mshindani. Methali hii hutumiwa kuwanasihi binadamu kukubali wanaposhindwa au kuukiri udhaifu wao.

23Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

NAONA yule anatikisa kichwa akidhani mibangi na ulabu vimeanza kunitia kichaa. Si wendaa au wenda wazimu, wala roho mbaya au kuwanga vinavyonisumbua kufurahia kutangaza kifo au vifo vya gendaeka....

22Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, katika ukanda wa Pwani zimekuwa na athari kwa baadhi ya wakazi na neema kwa wengine.

22Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

BAADA ya kumaliza mada ya dhamana za serikali iliyotuchukua kwa kipindi kirefu kidogo, leo tunaendelea kuangalia mojawapo ya eneo la msingi katika biashara, ambalo ni la wateja.

Pages