SAFU »

08Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 1994 ulikuwa mwisho wa utawala wa miaka 30 wa chama kimoja cha Malawi Congress Party (MCP) cha Rais wa kwanza, Dk. Haustings Kamuzu Banda baada ya uchaguzi ndani ya mfumo wa vyama vingi.

07Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILI kuwawezesha wanafunzi kufahamu matumizi ya taarifa mbalimbali, kumudu vyombo vya mawasiliano na kujifunza kupitia maktaba, serikali ilianzisha somo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (...

06Jul 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAYARI Shirikisho la Soka Nchini (TFF), limetangaza kuwafungia waamuzi watatu waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Bara, kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar...

03Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MARA unatajwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye fursa nyingi za kiuchumi, kutokana na rasilimali mbalimbali zilizopo, lakini wakazi wake bado hawajanufaika na uwepo wa fursa hizo.

02Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMATATU wiki hii, shule za msingi na sekondari zilifunguliwa ili kuruhusu wanafunzi kuendelea na masomo, baada ya kukaa nyumbani kwa zaidi ya miezi mitatu, kwa lengo la kujikinga na maambukizo ya...

01Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWEZI Julai barani Afrika ni wakati wa kupambana na rushwa, kila mwaka Julai 11 ni Siku ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa.

30Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA kuhakikisha wanafunzi wa kike wa shule za msingi na sekondari wanasoma bila kupata changamoto ya kukosa masomo wakati wa hedhi jitihada mbalimbali zimefanyika zikiwamo kutoa hoja binafsi...

29Jun 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya muda mrefu kupita ikishika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, hatimaye Azam imeteremka hadi kwenye nafasi ya tatu.

27Jun 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MTU asiyekubali kushindwa si mshindani. Methali hii hutumiwa kuwanasihi binadamu wakubali wanaposhindwa au kukiri udhaifu wao.

26Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA kipindi cha pili cha awamu ya tatu, mwaka 2020 hadi 2023, jumla ya Sh. trilioni 203 zitatumika, ambapo awamu hiyo utekelezaji utafanyika, kwenye halmashauri zote 185 za Tanzania Bara na...

25Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MDOMO unaelezwa na wataalamu wa afya, ni kiungo chenye mengi. Ila meno ndiyo yenye matatizo mengi, ambayo kuna wakati inasababisha watu kukosa raha na hata usingizi.

24Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wameshatangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

23Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI shule za msingi na sekondari zikitarajia kuanza masomo wiki ijayo, tayari serikali imeshatoa ratiba ya kuwezesha wanafunzi kufidia muda ambao walikaa nyumbani kujikinga na maambukizi ya...

Pages