SAFU »

11Nov 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATANZANIA wengi wanapenda mchezo wa soka. Halafu wanapenda sana klabu za Simba na Yanga. Kupenda kwao klabu hizo, wakati mwingine kunawafanya hadi baadhi yao wanashindwa kupambanua mambo.

09Nov 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NGOMA ivumayo sana kutokana na kupigwa huishia kupasuka. Methali hii hutumiwa kutukumbusha kwamba jambo lolote huharibika hasa linapopita kipimo chake.

09Nov 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MADHARA ni matokeo hasi yanayompata mara nyingi mtu au kitu na wakati mwingine mali kutokana na kitendo kilichofanywa na mtu mwingine au kilichotokea kutokana na mtu flani kushindwa kutimiza...

08Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAFANYABIASHARA wadogo, maarufu kwa jina la Machinga wanafanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali, huku mamlaka husika zikiwatafutia sehemu rasmi za biashara.

07Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWANZA kila mtu anajua pasipo ubishi, kwamba Mwanza ni jiji kubwa na kuna uwezekano mkubwa juu ya ukweli huo.

06Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI nchi ikielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Chama cha ACT- Wazalendo, kimetamba kupokea wanachama wapya 98 waliojiunga na chama hicho mwishoni mwa mwezi uliopita.

05Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMLA ya watahiniwa 485,866 wakiwamo wavulana 229,838 na wasichana 256,028 wameanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne, ikiwa ni mwisho wao wa kupata elimu bure kulipa ada.

04Nov 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIKUAMINI macho yangu kama nilikuwa naangalia moja kati ya Ligi Kuu kubwa kabisa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Ilikuwa kama naangalia mechi za mchangani maarufu kama ndondo ambazo nazo siku...

02Nov 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

WIKI iliyopita tuliona kuwa ilipofika Mei 1969, ushuru wa mazao uliokuwa unatozwa na serikali za mitaa na vijiji, ulifutwa na uamuzi huo katika masuala mengi uliathiri kwa kiasi kikubwa mapato ya...

02Nov 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“MTOTO akililia wembe mpe.” Maana yake mtoto auliliapo wembe, mpe; ukimkata atauogopa.

01Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KOROSHO ni zao linalouongezea mapato mkoa wa Pwani. Ili serikali na wakulima wanufaike nako, kuna kila haja ya hatua kuchukuliwa, kuhakikisha serikali na wakulima wananufaika.

31Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LICHA ya serikali kuweka adhabu kali kwa wanaowasababishia ujauzito kwa wanafunzi na watoto chini ya umri wa miaka 18, bado tatizo la mimba za utotoni limeendelea kuwapo na kukatisha ndoto zao....

30Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIPENGA kwa ajili ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kilipulizwa jana, huku kukiwa na maelekezo ya kuzingatia kanuni za...

Pages