SAFU »

06May 2020
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIKIZO ya kujihadhari na corona kwa wanafunzi wote wa Tanzania imedhihirisha kuwa kuna ulazima wa kujifunza na kufundishwa kusoma vitabu badala ya kuendelea kuamini kuwa kusoma na kupenda vitabu...

05May 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI huu ambao kuna tishio la maambukizo ya virusi vya corona, shule nazo zimebuni mbinu mbalimbali za kuhakikisha wanafunzi wao wanaendelea na masomo kama kawaida wakiwa nyumbani.

04May 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JANA Bodi ya Ligi ilitarajiwa kukaa kwa ajili ya kujua mustakabali wa michezo ya soka nchini, ikiwamo Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la FA na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

02May 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUSEMWA “Kinga na kinga ndipo moto huwakapo.” Maana yake moto huwaka baada ya kijinga kimoja kuunganishwa na kijinga kingine cha moto. Hii ni methali ya kutufunza faida zinazotokana na...

01May 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI imetangaza bei elekezi ya sukari katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwa ni namna ya kupambana na mfumuko wa ghafla wa bei ya bidhaa. Hilo limeibuka hivi karibu na kusababisha sintofahamu...

30Apr 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kwa kuzungumza ukweli ulikosimama, kwamba janga la corona lipo! Hata ikitokea mmoja kati yetu halijui hilo, lazima tumsimamie na swali kuhoji kulikoni mwenzetu umeachwa na wakati?

29Apr 2020
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAATHIRA ya mabadiliko ya tabianchi ni janga linaloweza kuwa na sura mbalimbali kama vimbunga , mafuriko, ukame na ongezeko la maradhi yakiwamo COVID 19 yanayoitesa dunia kwa sasa.

28Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU ni kati ya vipaumbele vilivyomo kwenye Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs).Ni chachu ya mageuzi inayohimizwa katika ubora, usawa na fursa kwa raia wote kujiendeleza...

27Apr 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUWA sielewi Watanzania nini tunahitaji ili soka nchi hii liendelee na kutuletea mafanikio kwenye ngazi ya klabu na hata timu za Taifa.

25Apr 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAANA ya kichwa cha makala haya ni methali isemayo dawa ya jipu ni kulipasua na kulikamua. Twafunzwa umuhimu wa kukabiliana na hali fulani hata kama ni ngumu na kuimaliza. Mathalan mtu anapotakiwa...

24Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWANZONI mwa mwezi huu, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), iliwataka watu binafsi kuomba leseni za muda mfupi kwa ajili ya kutoa huduma usafiri katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es...

23Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

VIRUSI vya corona ni janga ambalo limezikumba nchi nyingi duniani, Watanzania tukiwamo. Pia, juhudi zinandelea kuchukuliwa kukabiliana na na virusi hivyo, ambavyo bado havina dawa wala tiba.

22Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI vikao vya bunge vinaendelea jijini Dodoma, baadhi ya wabunge wameanza kuaga rasmi wakisema kwamba hawatajitosa kwenye kinyang'anyiro katika uchaguzi mkuu ujao.

Pages