SAFU »

08Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya matukio makubwa na muhimu kwa taifa hili, ambayo yanatarajia kuwapo mwishoni mwa mwaka huu wa ni uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani.

07Apr 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MBUNGE wa Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Antony Komu, ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na NCCR-Mageuzi.

06Apr 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAJUA kwa sasa suala hili limemalizika, lakini ni lazima lisemwe, liwekwe sawa na kisha kutolewa ushauri ili lisijirudie tena.

04Apr 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITU anachokipenda mtu au inachokipenda roho ya mtu huwa kama dawa yake.

03Apr 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ilitangaza kufunga shule za awali, msingi na sekondari kwa siku 30 kuanzia Machi 17, ikiwa ni sehemu ya kuikabili Corona
Ni hatua ya ghafla, iliyotangazwa na Waziri Mkuu Kassim...

02Apr 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUENEA virusi vinavyosababisha Corona, (COVID-19), kumetikisa dunia katika nyanja mbalimbali, ikiwamo, kijamii, kiuchumi, kisiasa na kimazingira.

01Apr 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA kati ya nyenzo muhimu za maisha ya binadamu ni afya bora inayompa mtu uwezo wa kufanyakazi na kuzalisha mali.

31Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHULE za awali, msingi hadi vyuo vikuu zimefungwa na sasa wanafunzi wako likizo ya ghafla iliyotangazwa na serikali kama njia ya kuepusha maambukizi zaidi ya virusi vya corona nchini.

30Mar 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA sasa viongozi wa soka duniani wanakuna vichwa vyao jinsi watakavyomaliza Ligi Kuu msimu huu wa 2019/20 ambao umekumbwa na tatizo la mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19).

28Mar 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILISEMWA na wahenga kuwa “fedha fedheha” wakiwa na maana fedha huweza kuleta mambo ya aibu baina ya binadamu. Methali hii yaweza kutumiwa kutuonya kuhusu maovu yanayoweza kusababishwa na fedha....

27Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MPANGO wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Fedha, unalenga kuleta mabadiliko chanya katika maeneo makuu manne, kupunguza vikwazo vya ushirikishwaji wa Watanzania kwenye mfumo rasmi wa fedha wa nchi....

26Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTOKANA na tishio la virusi vya corona, hatua mbalimbali za kukabiliana nayo inaendelea kuchukuliwa na serikali, ili kuhakikisha Watanzania wanabaki salama.

25Mar 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KISWAHILI kina methali kadhaa zenye maana sawa kama 'umoja ni nguvu utengano ni udhafu, jiwe moja haliinjiki chungu na ndege wanaofanana huruka pamoja’ ambazo zinahimiza umoja.

Pages