SAFU »

20Feb 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

Baada ya wajinga fulani kutaka kunigeuza juha kama wao wakitaka eti niende kwa M7 kuangalia uchakachuaji wakati nikijua kura zitaibiwa na imla atachukua na kuweka waa, niliwatolea nje kuwa siwezi...

20Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“KINYWA ni jumba la maneno.” Ni methali ya kutukumbusha kuwa binadamu ana uwezo wa kusema maneno yoyote, yawe mazuri au mabaya. Kwa hiyo tusishangae kusikia maneno yanayosemwa na watu.

19Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NINASHANGAZWA na mengi katika safari ya maisha. Lakini hili la baadhi ya viongozi wa serikali wanaotumia dhamana zao kuwakwamisha waandishi wa habari ili wasitekeleze majukumu yao kikamilifu nalo...

19Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

ADHA ya foleni katika Jiji la Dar es Salaam, inaathiri wakazi wake karibu wote. Haichagui mgeni wala mwenyeji. Kijana au mzee na yoyote yule. Foleni ni kama zimegeuka kuwa mtindo wa maisha.

18Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

UNAPOSAFIRI kuelekea mikoa ya Kaskazini, baadhi yetu siku hizi tunaamua kutumia barabara mpya ya Bagamoyo-Msata.

18Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SEKTA ya Uvuvi ni miongoni mwa sekta nyeti sana nchini ambazo kwa undani wake zimekosa kisemeo, licha ya mchango wake mkubwa kwa Serikali,Taifa na jamii kwa ujumla.

17Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MANISPAA ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa sasa inaongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa Meya na Naibu Meya, uchaguzi ambao awali...

17Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NI nadra kukuta mjadala kumhusu Rais John Magufuli ukijielekeza katika kukosoa. Ni pongezi, pongezi, pongezi.

17Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Mjadala

MKUU wa nchi ambaye ni Rais John Magufuli ametangaza rasmi kwamba amekuta ndani ya serikali hali ni mbaya 'imeoza' na kila mahali anapogusa pameharibika kwa rushwa.

16Feb 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NINAYOYAZUNGUMZA hapa hayakutokana na fikra zangu binafsi. Baada ya kuandika maoni yangu juu ya jambo fulani (lakini si katika gazeti hili) msomaji mmoja alinipigia simu kuunga mkono nilichosema...

16Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA muda sasa hapa nchini wimbi kubwa la ukamataji wa wahamiaji haramu hususan kutoka nchi za Ethipia na Somalia linakupwa hapa na pale.

16Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘JIFARAGUA’ ni kitendo cha mtu kufanya jambo kama atakavyo bila kuingiliwa. Kuwa na maringo; jifanya kujua sana.
‘Jikunyata’ ni kitendo cha mtu kutulia na kuonesha hali ya unyonge; jikunja...

15Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NCHI inatarajia 'kusimama' kwa dakika 90 Jumamosi ijayo kupisha mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa.

Pages