SAFU »

MARA zote mapato yanaposimamiwa katika sehemu yoyote, iwe binfasi ya kiserikali, kuna mafanikio lazima kushuhudiwa.

MOJA ya mambo ya kujifunza kutoka kwa wengine ni utunzaji wa mazingira katikati ya miji sambamba na maendeleo ya miundombinu.
NIMEVUTIKA kuendelea kuzungumzia kadhia ya baadhi ya wakulima wa pamba ambao hawajalipwa fedha zao hadi sasa, wengi wakiwa kwenye maeneo ya Kanda ya Ziwa, wakati msimu mpya wa kilimo ukiwa tayari...

WATANZANIA wengi wanapenda mchezo wa soka. Halafu wanapenda sana klabu za Simba na Yanga. Kupenda kwao klabu hizo, wakati mwingine kunawafanya hadi baadhi yao wanashindwa kupambanua mambo.
NGOMA ivumayo sana kutokana na kupigwa huishia kupasuka. Methali hii hutumiwa kutukumbusha kwamba jambo lolote huharibika hasa linapopita kipimo chake.

MADHARA ni matokeo hasi yanayompata mara nyingi mtu au kitu na wakati mwingine mali kutokana na kitendo kilichofanywa na mtu mwingine au kilichotokea kutokana na mtu flani kushindwa kutimiza...

WAFANYABIASHARA wadogo, maarufu kwa jina la Machinga wanafanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali, huku mamlaka husika zikiwatafutia sehemu rasmi za biashara.

KWANZA kila mtu anajua pasipo ubishi, kwamba Mwanza ni jiji kubwa na kuna uwezekano mkubwa juu ya ukweli huo.

WAKATI nchi ikielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Chama cha ACT- Wazalendo, kimetamba kupokea wanachama wapya 98 waliojiunga na chama hicho mwishoni mwa mwezi uliopita.

JUMLA ya watahiniwa 485,866 wakiwamo wavulana 229,838 na wasichana 256,028 wameanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne, ikiwa ni mwisho wao wa kupata elimu bure kulipa ada.

SIKUAMINI macho yangu kama nilikuwa naangalia moja kati ya Ligi Kuu kubwa kabisa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Ilikuwa kama naangalia mechi za mchangani maarufu kama ndondo ambazo nazo siku...

WIKI iliyopita tuliona kuwa ilipofika Mei 1969, ushuru wa mazao uliokuwa unatozwa na serikali za mitaa na vijiji, ulifutwa na uamuzi huo katika masuala mengi uliathiri kwa kiasi kikubwa mapato ya...
“MTOTO akililia wembe mpe.” Maana yake mtoto auliliapo wembe, mpe; ukimkata atauogopa.