SAFU »

14Aug 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RUSHWA ni neno kubwa, lenye alama chafu katika jamii ambalo limekuwa likizungumzwa katika maeneo mbalimbali yanayoizunguka jamii iliko katika makazi yao.

13Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU ya saikolokojia wanayofunzwa matabibu, inaeleza tabia ya hofu ya binadamu, hupitia madaraja kadhaa. Mwanzo anapofahamu jambo baya dhidi yake, hukumbwa na hofu na woga uliopitiliza wa...

12Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

OKTOBA 28, mwaka huu, Watanzania watapiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani ikiwa ni baada ya zaidi ya miezi miwili ya kampeni za uchaguzi huo utakaoshirikisha wagombea wa vyama mbalimbali...

11Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TEKNOLOJIA ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kwa sasa ni moja ya kigezo kinachotumika kutathmini ubora wa shule za sekondari, lengo likiwa ni kuhamasisha utumiaji wa teknolojia hiyo shuleni.

08Aug 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NALAZIMIKA kuwapa kongole (shukrani; asante) viongozi wa Simba kwa jinsi walivyoiongoza timu yao na kukamilisha msimu uliomalizika hivi karibuni kwa kutwaa vikombe viwili na ngao mfululizo.

07Aug 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI sasa duniani ni miaka mingi imeshapita, elimu kuhusu umuhimu na usalama wa mazingira ni jambo muhimu sana.

06Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERA ya Maji ya Mwaka 1991, ililenga kuhakikisha ifikapo mwaka 2000, wananchi wote wawe wamekwishapata majisafi na salama, kwa kiwango cha kikidhi mahitaji yao.

05Aug 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inawakumbusha wanasiasa kuwa makini wakati huu ambao hatua mbalimbali zinachukuliwa, kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28,...

04Aug 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATOTO wengi wa kike sehemu nyingi duniani wanakabiliwa na vikwazo kama kutothaminiwa katika jamii pale wanapoanzisha safari yao ya kuelekea utu uzima.

03Aug 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIPENGA cha mwisho kilipopulizwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jumamosi iliyopita, wachezaji wote wa Mbao FC walianguka chini, wengine wakiangua kilio kwa uchungu.

01Aug 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘TEMATO’ ni tema vizuri. Maana yake ukiamua kuchanja kuni zichanje vizuri. Methali hii yatufunza kuwa tuamuapo kufanya jambo lazima tufanye vizuri na kwa njia iliyo bora zaidi. Matumizi ya kiisho‘...

31Jul 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AFYA ni kitu muhimu katika mwili wa mwanadamu. Ndilo linamhakikishia binadamu afya bora na amani.

30Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HOSPITALI ya Rufani ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, inayojengwa mjini Musoma mkoani Mara, inatarajia kuwa kubwa na kuhudumia mikoa yote katika ukanda wa Ziwa Victoria.

Pages