SAFU »

27Aug 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

GAZETI hili limekuwa na habari kubwa katika ukurasa wake wa mbele kwa nyakati tofauti mwezi huu, zilizoandikwa zikieleza kwa kina namna mikopo ya elimu ya juu ilivyogeuka shubiri kwa wanufaika....

26Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Yanga na Azam FC zimefanikiwa kutinga hatua za raundi ya kwanza kwenye michuano hiyo.

22Aug 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTEMBEA umbali mrefu kufuata huduma za afya ni moja ya changamoto, ambayo inazikumbuka baadhi ya wananchi wa mikoa mbalimbali.

21Aug 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ya Tanzania imeweka sheria, taratibu na miongozo ambayo inashirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kuhakikisha usalama na ustawi wa watoto nchini.

20Aug 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kama Mtanzania kuipongeza serikali kwa kufanikisha kwa kishindo Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), uliohitimishwa juzi jijini Dar es Salaam.

19Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KABLA msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2019/20 haujaanza, tayari waamuzi watakaochezesha wamepigwa mkwara kuwa yeyote atakayeonekana kuchezesha vibaya, au kwenda kinyume na sheria za soka, basi...

17Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MANENO tu hayawezi kuvunja mifupa hata yakawa makali kiasi gani. Methali hii hutumiwa na mtu anayepuuza maneno yaliyosemwa na mtu mwingine na ambayo hayawezi kumdhuru kwa namna yoyote au hayamzuii...

14Aug 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UPO usemi usemao mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Msemo huu hauna ubishi kwa Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kwani ni miongoni mwa viongozi walioweza kidhati...

13Aug 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kwa kuungana na wananchi wenzetu wa mkoa wa Morogoro na wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na msiba mzito uliolikumba taifa letu, kufuatia vifo vya Watanzania 71 kwa takwimu za hadi...

13Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

TOLEO lililopita, tulieleza kwa kirefu baadhi ya maneno yenye maana zinazokaribiana. Mara hii twawaleteeni maana ya ‘vitawe’ yaani maneno yenye maana zaidi ya moja. Sasa endelea …

12Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

IKIWA ni timu alikwa kwenye michuano ya (COSAFA), timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake wa umri chini ya miaka 20, imetwaa ubingwa na michuano hiyo kwa kuichapa timu ya Taifa ya Zambia mabao 2-1...

10Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWA na msuguano kwa muda wa wiki mbili sasa kati ya aliyekuwa mdhamini wa klabu ya Simba, Hamisi Kilomoni na uongozi wa klabu hiyo.

10Aug 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

NENO NGOs ni  kifupisho  cha  maneno  Non-Governmental   Organisations  na kwa  Kiswahili humaanisha mashirika au asasi zisizo za kiserikali.

Pages