SAFU »

24Jun 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JANA Taifa Stars ilitupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2019, dhidi ya Senegal katika mechi iliyochezwa saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki....

22Jun 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUSEMWA “Maneno ni kama fumo, yakitoka mdomoni hayarudi.” Maana yake neno analotamka mtu ni kama mkuki (fumo), likitoka halirudi na huweza kuleta madhara.

22Jun 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

AWALI ya yote, ni vema ikaeleweka mapema kuwa likizo zote anayepaswa kupatiwa/kufaidika ni kila mwajiriwa aliyefanya kazi zaidi ya miezi sita mfululizo, au kama alifanya akatoka halafu akafanya...

21Jun 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya kusikika kuwa kodi ya taulo za kike inaongezwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kuna wadau wametoa maoni yao kuhusiana na ongezeko hilo.

20Jun 2019
Mashaka Mgeta
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni, kumezinduliwa mpango wa kuwasajili walinzi binafsi wanaofanya kazi kwenye makazi na taasisi za kijamii.

19Jun 2019
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA makubaliano ya Paris, mataifa yamewekewa malengo ya kuzuia hali ya ongezeko la joto la kimataifa kufikia nyuzi joto 1.5.

18Jun 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

UKIOGOPA kusemwa na watu ufanyapo jambo hulifanyi asilani. Methali hii hutumiwa kumhimiza mtu anayedhamiria kulifanya jambo fulani kisha akawa anaogopa wanavyosema watu wengine.

18Jun 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIMEVUTIWA kuandika Tulonge hii na moja za makala zilizoko katika kijarida cha elimu kwenye gazeti hili yenye kichwa cha habari kisemacho “Shinyanga yaja na sheria ndogo ili kutokomeza vifo vya...

17Jun 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIZURI huigwa, hata kama kinafanywa na adui yako, au mtu ambaye humkubali. Na kwa Tanzania hatutaki ama tunazembea kujifunza kutoka kwa wenzetu wa nje walioendelea hususan katika sekta ya michezo...

15Jun 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MPIRA ni kitu cha mviringo kilichotengenezwa kwa mpira kwa ajili ya michezo; mchezo unaotumia kifaa kilichotengenezwa kwa mpira. Mpira wa miguu una majina mengi; kandanda, kabumbu, soka.

15Jun 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

HAKUNA jamii duniani isiyo na taratibu au misingi ya namna ya kuishi na kufanya shughuli za kila siku.

12Jun 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UGONJWA wa kipindupindu jijini Dar es Salaam bado umetamalaki kwa wiki kadhaa sasa na watu waliokumbwa na ugonjwa huo wameongezeka kutoka 34 mwishoni mwa Mei hadi kufikia 55 sasa, huku watu watatu...

11Jun 2019
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mjadala

KWA wakazi wa Dar es Salaam na ukanda wa mzima wa pwani  kinachoonekana sasa ni upepo ambao  licha ya kuleta magonjwa, kama  vikohozi na matatizo ya macho, kwa upande mwingine hutishia maisha kwa...

Pages