SAFU »

26Oct 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“SIHADAIKE na rangi tamu ya chai ni sukari.” Maana yake usidanganyike na rangi ya chai, kwani utamu wake hutokana na sukari.

25Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KINACHOENDELEA kwa sasa Musoma Vijijini mkoani Mara, ni ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami, ili kurahisisha usafiri wa magari ya abiria na mengine ya biashara.

24Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA jana, serikali ilizindua kampeni ya chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi, kwa ajili ya kuwafikia zaidi ya wasichana 600,000 walio na umri kati ya miaka tisa hadi 14, wapatiwe chanjo...

23Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza kurudiwa kwa kura za maoni kwa wagombea wa uongozi wa serikali za mitaa ndani ya chama hicho katika maeneo yote yaliyolalamikiwa kwa kukiuka kanuni za uchaguzi...

22Oct 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA walio na maslahi katika ustawi wa wakulima na hasa wale wadogo wadogo ambao ndio wengi nchini ukilinganisha na wakulima wa kibiashara, wataungana na mtazamo wa Muungwana

21Oct 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YANGA itacheza mechi ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids kutoka Misri kwenye mechi ya mkondo wa kwanza, hatua ya mtoano, kabla ya timu hizo kurudiana baada ya wiki moja...

19Oct 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KWA wanaokuwa mahamakani iwe kwenye kesi zao, za jamaa zao au nyingine, wakati mwingine wanaweza kujiuliza hivi kuna uhalali wazee wa baraza wanaosikiliza kesi kumhoji shahidi maswali mahakamani...

19Oct 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZIARA ya Simba mkoani Kigoma imeibua vitu kadhaa vipya ambavyo mashabiki wengi wa soka hasa wa mikoa mingine nchini hawakuwahi kuviona vikitokea hapa nchini.

18Oct 2019
Peter Orwa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MATOKEO ya mtihani wa darasa la saba ambalo ndilo daraja la kumvusha mtoto kutoka elimu ya msingi kwenda sekondari, kwa wanaobahatika kuna maana kubwa, tangu yaanikwe hadharani .

17Oct 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Uchambuzi

NI juzi tumesikia matokeo ya mtihani ya darasa la saba, mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiibuka kidedea kufanya vizuri kitaifa katika mitihani hiyo.

16Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUZI Oktoba 14 ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati, Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14 mwaka 1999, katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, jijini...

15Oct 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKULIMA hasa wadogo nchini ni moja ya kundi linaloonekana kuwa na watetezi wengi.

15Oct 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘KANZI’ ni hazina kubwa au vitu vya thamani. Kanzi ni kama hazina. Twafunzwa umuhimu wa kazi ambayo ni hazina yetu ya siku za shida au zijazo.

Pages