SAFU »

12Dec 2019
Michael Eneza
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JITIHADA zinaendelea maeneo mengi kuwajumuisha wanafunzi hasa katika shule za sekondari kutumia mbinu za kupeana habari kimtandao kutoa majawabu ya changamoto tofauti za kijamii na kimasomo.

11Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUWAPO kwa vyama vingi vya siasa nchini, kunatokana na Bunge na Baraza la Wawakilishi kufanya kikao mwaka 1992 kilichojadili mabadiliko muhimu ya kikatiba na sheria.

10Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MATOKEO ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2019, yameshatangazwa, huku wanafunzi 701,038, ambao ni sawa na asilimia 92.27, wakiwa wamefaulu kuanza kidato cha kwanza mwaka 2020.

09Dec 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa wanaume kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) inaendelea kutimua vumbi nchini Uganda, Tanzania Bara ikiwakilishwa na Kilimanjaro Stars, upande wa pili...

07Dec 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWELI ni silaha nzuri maishani. Methali hii hutukumbusha umuhimu wa kusema kweli hata kama kufanya hivyo tutaishia kuchukiwa na wenzetu.

07Dec 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

INAWEZEKANA umefungua shauri la ndoa, au una maombi ya talaka, mgawanyo wa mali ,malezi ya watoto au vyote.

06Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MKUU wa Mkoa wa Mara, Adam Malima amewapa siku saba viongozi wa vyama zaidi ya 85 vya ushirika, wanaotuhumiwa kufuja fedha zaidi ya Sh. milioni 105 kuzirejesha mara moja.

03Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU ya awali ni nguzo muhimu katika kumjengea mtoto uwezo wa kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) ili wanapoingia darasa la kwanza awe tayari ameandaliwa kikamilifu, katika maeneo hayo matatu...

03Dec 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MTU anayekataa kwao huwa mtumwa mahali anapoishi. Twakumbushwa umuhimu wa kuzikumbuka asili zetu au tutokako. Twapaswa kuwaonea fahari wazazi wetu au hata mataifa yetu.

02Dec 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUKIO la golikipa wa Timu ya Soka ya Wanawake ya Zanzibar Queens, Hajra Abdallah, kuangua kilio baada ya kufungwa mabao 7-0 dhidi ya Tanzania Bara katika mechi ya mashindano ya Kombe la Chalenji,...

30Nov 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTEMBEA kwingi ni kujua mengi kwa kuwa mtu anaishia kukusanya maarifa mengi. Methali hii yatunasihi tutembee na kujifunza mengi.

30Nov 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

WATU wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyepelekea ndoa kuvunjika kama anastahili mgawo wa mali? Mfano, mwanamke katika ndoa anaanzisha chokochoko makusudi ili ndoa ivunjike...

29Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHERIA inapotungwa mahali popote ni wajibu wa kila mtu kuzifuata. Mtu anayevunja sheria kwa makusudi, anastahili kuchukuliwa hatua.

Pages