SAFU »

07Sep 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU ya soka ya Tanzania (Taifa Stars), kesho itakuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza dhidi ya wenzao kutoka Burundi katika mechi ya marudiano ya kusaka tiketi ya...

06Sep 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA 25 si mchezo. Kwa binadamu, ni mtu mzima tena ametimia kisawasawa, kwa haki zote za ki- utu uzima. Ikihesabiwa miaka inatisha. Ni simulizi ya robo karne hivi. Kama uliganishi na umri wa...

05Sep 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUDUMA ya kwanza huwa ni ya haraka anayopewa mwathirika wa ajali au ugonjwa wa ghafla.

04Sep 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya mambo ya kujifunza kutoka kwa wengine ni utunzaji wa mazingira katikati ya miji sambamba na maendeleo ya miundombinu.

03Sep 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DHAMIRA ya serikali kuwakwamua wakulima na hasa wadogo wadogo ambao ndio wanaunda sehemu kubwa ya Watanzania kwa maana ya shughuli kuu ya kiuchumi, ni ya msingi katika dhana nzima ya kujenga...

02Sep 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAKUMBUKA baada ya Ligi Kuu kumalizika nilisoma mahali jinsi Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems alivyokuwa akitoa tathmini yake kwenye kikosi chake, benchi la ufundi, pamoja na ushauri jinsi...

31Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘USUBI’ ni wadudu wadogo wanaofanana na mbu. ‘Kapa’ ni sehemu ya pwani inayoota mikoko na ambayo huwa na tope na haikosi usubi. Maana yake hakuna msitu wa mikoko usiokuwa na usubi.

30Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUNAPOZUNGUMZIA tamasha, huo ni mkusanyiko wa watu kutoka makundi mbalimbali.

28Aug 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA mfumo wa maisha huwa ni jambo la kawaida mtoto kutunzwa au kulelewa na wazazi hata na ndugu akielekezwa kuzingatia maadili mema, ambayo yanalenga kumfanya awe mtu mwema katika jamii.

27Aug 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

GAZETI hili limekuwa na habari kubwa katika ukurasa wake wa mbele kwa nyakati tofauti mwezi huu, zilizoandikwa zikieleza kwa kina namna mikopo ya elimu ya juu ilivyogeuka shubiri kwa wanufaika....

26Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Yanga na Azam FC zimefanikiwa kutinga hatua za raundi ya kwanza kwenye michuano hiyo.

22Aug 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTEMBEA umbali mrefu kufuata huduma za afya ni moja ya changamoto, ambayo inazikumbuka baadhi ya wananchi wa mikoa mbalimbali.

21Aug 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ya Tanzania imeweka sheria, taratibu na miongozo ambayo inashirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kuhakikisha usalama na ustawi wa watoto nchini.

Pages