SAFU »

28Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli aliahidi kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi...

28Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

Katika kongamano la kupinga ukeketaji dhidi ya watoto wa kike na wanawake, lililofanyika Februari 5 na 6, mwaka huu mjini Singida, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigwangala, aliwaahidi washiriki...

28Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

NDOA ni taasisi ambayo wahusika wake nawafananisha na viongozi wa serikali, kwa maana ya rais wa nchi ni baba na mama ni Waziri Mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za nyumbani katika...

27Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Mtindo

SAA ya mkononi ni pambo linalopendwa kutumiwa na wanaume katika mazingira tofauti.

27Feb 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

Baada ya rafiki yangu wa zamani Jenerali Olushe Obasanjoo kuonyesha asivyo mwoga wala mnafiki kwenye uchakachuaji ulioisha kwa M7, mlevi anapanga kutia timu Abeokuta kwenda kumpa shavu na kumtaka...

27Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ASIYEKIRI ushinde hakuwa mshindani.” Mtu asiyekubali baada ya kushindwa si mshindani. Methali hii hutumiwa kuwanasihi binadamu kukubali wakishindwa au kuukiri udhaifu wao.

26Feb 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WASOMAJI na wapenzi wa safu hii ya ‘Mtazamo Kibiashara,’ kama ilivyo ada leo tunaendelea tena na somo letu linalohusiana na hati fungani za serikali ama dhamana za serikali ambazo tumeona ziko za...

26Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

Miongoni mwa mambo hayati Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihimiza katika hotuba zake, ni umuhimu wa serikali kukusanya kodi na wananchi kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo...

26Feb 2016
Peter Orwa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU yatoke matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne, mjadala uliotawala ni mambo makubwa yaliyofanywa na binti wa Kichina katika mtihani huo.

25Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI Watanzania wakiona lugha za kigeni kama Kichina, Kiingereza, Kifaransa na Kijerumani ni kigumu kujifunza kwa kusoma kuandika ma kuhesbu, maarufu kama KKK, mwanafunzi raia wa China, Congcong...

25Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mjadala

OFISI za serikali za mitaa ni miongoni mwa sehemu zinazotegemewa katika kuhakikisha ustawi na kulinda maisha ya wananchi katika sehemu husika hata yanafikia hatua ya kuboreka.

24Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMPENI za mwaka jana zilitawaliwa na maneno matamu mengi ambayo nina imani ndiyo yaliyowavutia wapigakura wakaichagua CCM kuongoza nchi hii.

24Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NI dhahiri kwamba hatua ya Rais John Magufuli kuingilia kati mazingira duni ya utendaji na utoaji tiba katika sekta ya afya, imeleta mabadiliko.

Pages