SAFU »

24Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

MOJAWAPO ya masuala yaliyo kipaumbele cha Rais John Pombe Magufuli ni tiba kwa magonjwa mbalimbali yanayowakabili wananchi wake.

23Mar 2016
Peter Orwa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MARA zote huwa inanishangaza sana inapofika saa za jioni. Wenye daladala jijini Dar es Salaam huwa wanaingia katika maisha mapya ya mpangilo wa kazi zao.

23Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

PANYA road, watoto wa mbwa, uhaba wa maji, migogoro ya ardhi, foleni ya magari, kituo cha mabasi, uchafu, tatizo la wamachinga, msongamano wa wagonjwa kwenye hospitali za umma na uhaba wa madarasa...

23Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

UCHAGUZI wa marudio Visiwani vya Zanzibar, ulifanyika Machi 20, mwaka huu ili kuwapata Rais, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani.

22Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘LUGHA’ ni mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambao hutumiwa na watu wa taifa au kundi fulani kwa ajili ya kuwasiliana. Pia ni maneno na matumizi yake; mtindo anaotumia mtu katika...

22Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAPEMA mwezi huu, Tanzania iliungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya mwanamke duniani.
Katika maadhimisho hayo, kaulimbiu ilikuwa inasema 50/50 ifikapo 2030 tuongeze jitihada.

22Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KWA mara nyingine uchaguzi wa kumpata Meya na Naibu wa jiji la Dar es Salaam unatarajiwa kufanyika leo baada ya kuahirishwa Jumamosi ya Februari 27, mwaka huu kutokana na kile kilichoelezwa kuwa...

21Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

YEYOTE aliyedhani kuwa mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa kati ya Yanga dhidi ya APR ya Rwanda ingekuwa mchekea alijidanganya.

21Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA mahojiano na Nipashe jijini Tanga jana asubuhi, kocha mkuu wa muda wa Simba, alieleza kusikitishwa kwake na mwenendo wa soka la Tanzania, hususan Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo timu yake...

20Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo tuzungumzie watoto wetu. Nitazama zaidi kukuelimisha ujue kuwa mtoto wako anacho kitu kikubwa sana ndani yake pasipo wewe kujua na kumwona wa kawaida tu. Hii ni hatari sana!...

20Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

FANGASI ni vimelea au viumbe vinavyosababisha madhara mwilini. Mara nyingi uvamizi au madhara haya huletwa na aina ya fangasi wajulikanao kama Candida albicans.

20Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWANZONI mwa wiki hii Rais John Magufuli aliwaapisha wakuu wa mikoa aliowateua na kuwapa maagizo mazito ya kufanya kazi ili kutatua kero za wananchi, na si kwenda kufanya siasa.

19Mar 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya muishiwa waziri wa Udongo Bill Lukuviii kuja na mpya kiasi cha kumlewesha Mlevi hata bila kanywaji na tubangi, imebidi lau niseme ili wote na yeye wajue kuwa sikuingizwa mkenge.

Pages