SAFU »

06Aug 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NILITAKA nisiendeleze ajenda ya kusuasua kwa ununuzi wa pamba ya wakulima wiki hii, nikiwa na imani kwamba suluhisho lake lingemalizwa kesho kutwa, siku ya Nanenane na Rais John Magufuli mkoani...

06Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

VISAWE ni maneno yenye maana zinazokaribiana. Kwa mfano, ‘mtoto’ na ‘mwana’ humaanisha kitu kimoja. Kwa mujibu wa Kamusi ya Karne ya 21 (Uk. wa 577), visawe hutumika ili kuwasilisha dhana ileile...

05Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILA timu kwa sasa imejichimbia kambini kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Agosti 23, mwaka huu.

03Aug 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

SHERIA  Namba Nne   Sura  ya  113 ya Sheria  ndiyo  inayotawala  mustakabali wa upangaji  na  upangishaji. Mpangaji  anajulikana,  lakini  swali  ni kama baada  ya  kupangishwa yeye  anaweza ...

03Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUSEMWA “Maneno ni kama fumo, yakitoka mdomoni hayarudi.” Maana yake neno analotamka mtu ni kama mkuki (fumo), likitoka halirudi na huweza kuleta madhara.

02Aug 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKULIMA wa mazao ya chakula na biashara na wazalishaji malighafi viwandani, wana nafasi kubwa kuongeza mauzo yao na hatimaye kuwa milionea, kama masoko ya uhakika yatafanyiwa kazi kikamilifu.

31Jul 2019
Mashaka Mgeta
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kipindi cha takribani miezi mitatu, nimeshiriki fursa ya uhamasishaji wenye lengo la kuleta mabadiliko ya fikra, sera, kanuni  na sheria ili kukidhi azma ya kuifanya Tanzania iondokane na...

30Jul 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAARIFA za hivi karibuni kutoka kwa vyombo vya habari kwamba Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) mkoani Simiyu,...

29Jul 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya miaka sita kupita, hatimaye 'Tanzania One' wa zamani nchini, Juma Kaseja amerejea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars).

27Jul 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KUNA matatizo jamii kati ya wapangaji na wenye nyumba, kuhusu notisi ya kuondoka au kuondolewa katika nyumba. Wako wanaosema notisi ni ya mwezi mmoja, pia wako wanaosema ni ya miezi mitatu.  Kama...

26Jul 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIKAKATI ya kumlinda mtoto dhidi ya matukio ya kingono, kuna kila sababu ya jamii kushiriki kutoa ushirikiano.

24Jul 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI kadhaa zilizopita wamiliki wa shule binafsi walilalamika kuanzishwa kwa programu zinazowalazimu kuzilipia, na kuitaka Serikali kuzichunguza na hatimaye kuchukua hatua ili kupunguza usumbufu...

23Jul 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

KWA mujibu wa Kamusi la Kiswahili Fasaha (Zanzibar), lugha ya Kiswahili imepanuka sana na matumizi yake yameenea kwa kasi duniani kuliko watu wengi walivyotarajia. Imevuka kiwango cha kuwa lugha...

Pages