SAFU »

23Jul 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA zaidi ya wiki nne zilizopita, safu hii imekuwa ikibainisha kwa mapana kilio cha wakulima wa pamba, kinachotokana na kusuasua kwa ununuzi wake katika mikoa inayolima zao hilo.

22Jul 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILIKUWA inakwenda taratibu, lakini sasa ni dhahiri kuwa klabu nyingi zimeanza kupenda kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi.

20Jul 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MASUALA ya kuweka mali rehani ili kupata mkopo hapa nchini yanaongozwa na sheria kuu mbili nazo ni Sheria namba 4 ya Ardhi ya mwaka 1999 sura ya 113, pamoja na sheria namba 17 ya rehani ya mwaka...

18Jul 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MKOA wa Lindi kwa sasa uko kwenye kampeni maalum iliyopewa jina la ‘msaidie akue, asome, mimba baadaye’, ikiwa na lengo la kukomesha  mimba za utotoni na kuwalinda mabinti.

16Jul 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHANGAMOTO ya kutonunuliwa kwa pamba ya wakulima nchini ilipofikia kwa hivi sasa, ni dhahiri kwa maoni ya Muungwana kwamba ni Mtanzania namba moja kwa maana ya Rais John Magufuli ndiye ambaye...

16Jul 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘ARIJOJO’ ni uendaji usio na mwelekeo mwafaka kwa kukosa kuongozwa au kupangiliwa vizuri; enda ovyo; hali ya kupotea. Ndivyo lugha yetu ya taifa Kiswahili isivyokuwa na thamani miongoni mwetu!

15Jul 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA miaka ya hivi karibuni, kumezuka kizazi cha baadhi ya mashabiki wa soka kupenda zaidi wachezaji kuliko klabu zao.

06Jul 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIKITI huiva vizuri kutokana na moto wa kwanza. Methali hii hutumiwa kutunasihi kwamba tuyatakapo mambo yetu yafanikiwe lazima tuyashughulikie mapema bila ya kupoteza wakati.

05Jul 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya walimu katika shule za jijini Dar es Salaam, wanadai kwamba kumekuwapo na pipi na biskuti zinazouzwa karibu na maeneo ya shule, wanazodhani huenda, zinatengenezwa kwa vitu ambavyo si...

04Jul 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MEI mwaka huu, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dk. Yudas Ndugile, aliwataka wakazi wa jijini kuchukua tahadhari kipindi cha mvua kwa kusafisha mitaro na maeneo yanayowazunguka, ili kujiepusha...

03Jul 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA kadhaa iliyopita, wakulima wa pamba wa mikoa ya Kanda ya Ziwa Victoria walikuwa wakilalamikia changamoto walizokuwa wakikutana nazo  katika kilimo cha zao hilo ambazo zilisababisha wakate...

02Jul 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

KWA takriban miaka 22 sasa, wakazi wa Kipunguni ‘A’ wanaopakana na uwanja wa ndege wa kimataifa uliopewa jina la Mwalimu Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam, wanaishi kwa wasiwasi wa kutojua...

02Jul 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILI kuhalalisha tulonge yangu, ninaanza kwa kuitalii Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 hadi 2020.

Pages