SAFU »

RUSHWA ya ngono hufanyika kwa siri na baina ya watu wawili kwa anayelazimishwa kutenda hivyo na anayetaka kutenda kwa manufaa yake mwenyewe ili atoe huduma fulani.
“BURA yangu sibadili kwa rehani.” Maana yake langu nalithamini hata kama kwa wengine halina thamani.

TIMU inapotetereka kidogo, kuna baadhi ya wanachama ambao wanakuwa kwenye klabu kimaslahi na kuanzisha chokochoko zao.

SIKU zote wananchi wamekuwa wakililalamikia jeshi la polisi kwa namna linavyoendesha shughuli zake hasa wakati wa ukamataji wa raia.
‘AIBU’ ni jambo la kumvunjia mtu heshima; jambo la kumtia mtu fedheha; tahayuri, soni. ‘Aibika’ ni shikwa na aibu baada ya kufanya jambo la kufedhehesha, pata aibu, fedheheka.

MATUMIZI ya nishati ya mkaa, hasa katika maeneo ya mijini yana nafasi kubwa na yamekuwa yakiongezeka na kufikia kiwango cha juu sana. Sababu kubwa ni kutokuwapo nishati mbadala yenye bei nafuu....

MSIMAMO wa serikali inavitaka vituo vyote vya umma kutoa huduma bora na za haraka kwa wazee wenye vitambulisho, pia vitenge dirisha maalumu kwa ajili yao.

KATIKA kikao cha Bunge la Bajeti, Mbunge wa Mwanga, Profesa Jumanne Maghembe, aliwasilisha kilio chake dhidi ya kampuni za simu kuwaibia wateja wake vifurushi na muda wa maongezi, na alijibiwa...
OKTOBA Mosi ya kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wazee katika dhima nzima ya kuangalia ustawi katika umri wao wa uzee, unaombatana kwa sehemu kubwa na changamoto mbalimbali za...

MOJA ya mambo ambayo hayatosahaulika kwenye Ligi Kuu msimu uliopita ni kitendo cha mchezaji wa Mbao FC, Rafael Siame kuokoa maisha ya mchezaji wa Coastal Union Adeyum Salehe.
LEO ni mtindo wa "Kupindua Meza Kibabe" pale wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Yanga, Azam FC na Malindi FC ya Zanzibar watakaposhuka dimbani nchini Zambia, Zimbabwe na Misri...
SIKU zote tumezoea kusema ajali haina kinga. Katika sura ya kwanza kuanzia kwenye msingi wa methali, ni kweli wakati mwingine kuna yasiyozuilika kuhusu ajali.

MAAMBUKIZI mpya ya ugonjwa wa Ukimwi sasa mkongwe nchini, ukivuka umri wa ujana na uko katika mitaa ya miataka 40.