SAFU »

27Jun 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MTU asiyekubali kushindwa si mshindani. Methali hii hutumiwa kuwanasihi binadamu wakubali wanaposhindwa au kukiri udhaifu wao.

26Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA kipindi cha pili cha awamu ya tatu, mwaka 2020 hadi 2023, jumla ya Sh. trilioni 203 zitatumika, ambapo awamu hiyo utekelezaji utafanyika, kwenye halmashauri zote 185 za Tanzania Bara na...

25Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MDOMO unaelezwa na wataalamu wa afya, ni kiungo chenye mengi. Ila meno ndiyo yenye matatizo mengi, ambayo kuna wakati inasababisha watu kukosa raha na hata usingizi.

24Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wameshatangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

23Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI shule za msingi na sekondari zikitarajia kuanza masomo wiki ijayo, tayari serikali imeshatoa ratiba ya kuwezesha wanafunzi kufidia muda ambao walikaa nyumbani kujikinga na maambukizi ya...

22Jun 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI majuzi serikali iliufungia Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuingiza mashabiki kutokana na kujaza idadi kubwa ya mashabiki, lakini pia kushindwa kufuata kanuni zilizowekwa na Wizara ya Afya...

20Jun 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ANAYELAANI au anayeapiza huko nje huishia kuipata laana ndani. Methali hii yaweza kutumiwa kwa mtu anayemtakia mwenzake mabaya kisha akapatwa na mabaya hayo hayo aliyomtakia mwenzake.

19Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNDI la wajasiriamali Wamachinga wanatajwa kuwa ndiyo wanaoleta muunganiko wa watu katika kada mbalimbali, wakiwamo wasomi wenye elimu ngazi tofauti; shahada, astashaada, kidato cha sita na cha...

18Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA mtindo uliozoeleka kutoka kwa baadhi ya watu, watumiaji wa dawa hasa za kukabili bakteria, pasipo ushauri wa daktari.

17Jun 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUANZIA sasa ni rasmi kuwa Chama Cha Mapinduzi kimepuliza kipenga cha kufungua milango ya wagombea urais wa Tanzania Bara na Visiwani.

16Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ELIMU kwa mtoto ni miongoni mwa mada kuu ambazo hutawala mataifa mbalimbali Afrika ikiwamo Tanzania, hasa wakati huu wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, ambayo hufanyika kila mwaka Juni 16...

15Jun 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20, imesharejea ili kumalizia mechi zilizobaki, baada ya kusimama kwa muda kutokana na janga la ugonjwa wa Covid-19.

13Jun 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘BURUDANI’ ni hali ya mtu kufarijika kutokana na kupata au kuona kitu anachokipenda. Ni mambo yanayofanywa ili kuchangamsha watu; starehe.

Pages