SAFU »

08Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya maeneo ambayo serikali hasa za awamu hizi tatu, yaani ile ya Benjamin Mkapa, ya Jakaya kikwete na hii ya Dk. John Pombe Magufuli, zimefanya vizuri ni kwenye ujenzi wa miundombinu, hususani...

07Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

MIKAKATI na matamshi mbalimbali yamekuwa yakitolewa na viongozi wa serikali, jeshi la Polisi, asasi za kiraia na wengineo kuwasihi wananchi waepuke kujichukulia sheria mikononi dhidi ya yeyote...

07Jul 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTAFITI unaonyesha kuwa watu takribani 500 hufariki dunia kwa siku kutokana na matumizi ya tumbaku. Tumbaku inaweza kuzalisha aina tatu za saratani, magonjwa ya moyo, kiharusi, vidonda vya tumbo...

06Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

MOJA ya vikwazo vya utekelezaji wa bajeti zilizopita ni kuchelewa kupelekwa kwa fedha kwenye kunakohusika kutoka Hazina.

06Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

PEDRO Verona Rodrigues Pires, alizaliwa Aprili 29, 1934 katika Mkoa wa S. Filipe, kisiwani Fogo.

06Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ILI kuhakikisha kuwa, wanafunzi wanafika shuleni kwa wakati na kwa usalama zaidi, baadhi ya shule nchini zina utaratibu wa kutoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wao, jambo ambalo ni zuri na...

05Jul 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

MITAZAMO ya watu tofauti kuhusu umuhimu wa kuwepo au kutokuwepo elimu ya afya ya uzazi kwa wanafunzi na vijana wa chini ya umri wa miaka kumi na nane niomekuwa naifuatilia kwa uangalifu.

05Jul 2016
Amri Lugungulo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya ajali nyingi za barabarani kutokea hapa nchini na kusababisha majeruhi na vifo vingi, baadhi ya abiria wa mabasi wameanzisha mtindo wa kusema asante kwa madereva wanaoendesha mabasi kwa...

05Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“USIJITIE hamnazo kucheza ngoma utakazo.” Hamnazo ni purukushani au kujifanya hujali wala huelewi. Maana yake usijitie tabia ya kupuuza ukayafanya uyatakayo.

04Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI mechi ya Kundi A kati ya Yanga na TP Mazembe ya Jamhuri kutoka Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikimalizika kwa wenyeji kulala bao 1-0, bado kuna 'kiwingu' kinachozunguka kuhusiana na mgawanyo...

04Jul 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KLABU ya Simba imemtambulisha rasmi Joseph Omog kuwa kocha mkuu wa kikosi chao kwa msimu wa ujao wa 2016/17.

03Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

UNAPOPITA maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam, iwe mitaani, katikati ya barabara mathalani, Manzese Darajini, Mwenge karibu na kituo cha polisi ama Ubungo kando ya ukuta wa Wizara ya Maji...

03Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WANANCHI katika nchi maskini kama Tanzania wanayo mahitaji yao ya msingi katika maisha yao ya kila siku, ambayo ni chakula, malazi bora, tiba, usafiri, elimu pamoja na mawasiliano ya kawaida,

Pages