SAFU »

01Jul 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

KUNA tabia ya baadhi ya wazazi wa kiume kukwepa majukumu yao ya kuihudumia familia kwa kuitelekeza kisha jukumu hilo kuachiwa mama awalee watoto kwa hali na mali.

30Jun 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

TAARIFA kwamba jamii yetu inaanza kupata mwamko wa kuyaangalia upya na kuyaripoti kwenye vyombo husika masuala ya ukatili wa kijinsia yaliyokuwa yamefunikwa kwa kivuli cha mila na desturi.

30Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni nilishuhudia kituko cha aina yake katika mtaa mmoja.Niliona umati umejaza huku kelele za zomeazomea zikitolewa na umati wa vijana katika eneo hilo.

29Jun 2016
Owden Kyambile
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

George Saitoti ambaye alizaliwa Agosti 3, 1945 alikuwa mwanasiasa maarufu nchini Kenya, mfanyabiashara ambaye alipata mafunzo yake Makekani pamoja na katika Vyuo Vikuu vya nchi za Ulaya. Alibobea...

29Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HOJA kubwa ambayo upinzani ulikuwa umeibeba kwa muda mrefu na kuungwa mkono na Watanzania ni ya ufisadi ambao ulionekana kufanywa na watu wa kada mbalimbali wakati wa utawala wa Awamu ya Nne.

29Jun 2016
Komba Kakoa
Nipashe
Mjadala

“UKIWEKA malengo yako juu sana na ukashindwa, kushindwa kwako kutakuwa juu ya mafanikio ya wengine.”

28Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MATUKIO ya vitendo vya kujichukulia sheria mkononi ikiwemo kujeruhi ama kuua watu wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali vinaendelea kushamiri nchini licha ya serikali kufanya jitihada ya kudhibiti...

28Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“KUISHI kwingi ni kuona mengi.” Mtu aliyeishi kwa muda mrefu huwa ameshuhudia mengi.

28Jun 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

INASEMWA Geita ni madini na hakuna rasilimali au shughuli zingine za kiuchumi. Niliwasikia wananchi wanaojishughulisha na uchimbaji mdogo mdogo wa madini huko Geita .

27Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KESHO wawakilishi pekee wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Yanga watashuka dimbani kupeperusha bendera ya nchi kwenye mchezo...

27Jun 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUNA maneno ya viashiria vya uvunjifu wa amani yanayotamkwa na baadhi ya viongozi, wanachama na mashabiki wa Yanga ambayo kesho inatarajiwa kupambana na TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...

26Jun 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

Ni dhahiri sasa kuwa Serikali imeamua kuokoa wananchi wake kwa kuwaepusha na matumizi ya bidhaa zilizo chini ya viwango, moja ya hatua ya hivi karibuni ilikuwa kuzima simu feki, zoezi...

26Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

LEO ni siku ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya ambayo pamoja na kuangamiza maisha ya vijana wengi wanaojitumbukiza kuyatumia, imezorotesha maendeleo ya Mtanzania mmoja mmoja, ya familia na...

Pages