SAFU »

19Jun 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, tayari tumeangalia kwa kina vyanzo vya matatizo ya ndoa nyingi. Nilitaja vyanzo vingi kama vile ndoa pasipo kumshirikisha Mungu, ndoa sababu binti kapata mimba bahati mbaya, tendo...

19Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

NI kawaida unapopanda mabasi yaendayo mikoani kupishana na wafanyabiashara ndogondogo wakiuza bidhaa zao kwenye kichochoro kinachotenganisha upande mmoja wa viti na mwingine.

19Jun 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI iliyopita tuliangalia jinsi kifua kikuu (TB), kinavyosambaa, sababu za kuwa na TB sugu na ukweli kuwa kila mmoja kutokana na maingiliano na wagonjwa anapata vimelea vya ugonjwa lakini siyo...

19Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Jicho Pevu

NIKIFUTILIA habari za michezo nchini, nahisi hadi kichwa kinauma.

19Jun 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
MZEE YANGA

“LEO ni siku ya mwerevu kesho mpumbavu.” Maana yake mwerevu anapaswa kuitumia siku ya leo kwa sababu kesho itakuwa siku ya mpumbavu.

18Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UZALENDO ni hali au fikira ya mtu kuwa tayari kufa kwa ajili ya uhuru na usalama wa nchi yake. Hali ya mtu kuipenda nchi yake kwa dhati sana.

18Jun 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KAWAIDA sina tabia ya kupenda kuwa karibu na wanene, wake zao au hata marafiki zao. Huwa naogopa kuonekana najigonga kama wale wanaojigonga kutetea au kutafuta ulaji. Ulevi wangu unanitosha....

18Jun 2016
John Ngunge
Nipashe
SIASA

ARDHI kwa binadamu ni rasilimali muhimu na ya msingi ambayo shughuli zote za kimaendeleo za kila siku zinafanyika juu yake, kama ilivyo kwa nchi nyingine za uchumi wa kati, Tanzania nayo,

17Jun 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

KARIBU asilimia 80 ya Watanzania waliojiajiri katika sekta isiyo rasmi, ambao wengi wao wanajishughulisha na kilimo, ufugaji, uvuvi ili wajipatie mahitaji ya kujikimu ya kila siku.

17Jun 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

TATIZO kubwa linalofanya watu wengi wasianzishe biashara au kukuza biashara zao, sio ukosefu wa mtaji ni uthubutu wa mtu mwenyewe.

17Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WASAIDIZI wa kazi za ndani wanaotambulika kirahisi kama 'hausi gel' (house girl) ni msaada mkubwa kwa familia nyingi zenye majukumu mengi yakiwemo yale ya kufanya kazi nje ya eneo la familia hata...

16Jun 2016
Amri Lugungulo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MILA na desturi za wenyeji wengi wa mkoa wa Pwani siyo wafugaji. Ufugaji kwao ni kama anasa. Wanafanya shughuli hiyo sio kibiashara kama ilivyo mikoa mingine nchini.

15Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BUNGE la Jamhuri ya Tanzania linaundwa na wabunge kutoka vyama mbalimbali vya siasa wakiwamo wa kuchaguliwa majimboni, viti maalum na wale walioteuliwa na Rais.

Pages