SAFU »

17Jun 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

KARIBU asilimia 80 ya Watanzania waliojiajiri katika sekta isiyo rasmi, ambao wengi wao wanajishughulisha na kilimo, ufugaji, uvuvi ili wajipatie mahitaji ya kujikimu ya kila siku.

17Jun 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

TATIZO kubwa linalofanya watu wengi wasianzishe biashara au kukuza biashara zao, sio ukosefu wa mtaji ni uthubutu wa mtu mwenyewe.

17Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WASAIDIZI wa kazi za ndani wanaotambulika kirahisi kama 'hausi gel' (house girl) ni msaada mkubwa kwa familia nyingi zenye majukumu mengi yakiwemo yale ya kufanya kazi nje ya eneo la familia hata...

16Jun 2016
Amri Lugungulo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MILA na desturi za wenyeji wengi wa mkoa wa Pwani siyo wafugaji. Ufugaji kwao ni kama anasa. Wanafanya shughuli hiyo sio kibiashara kama ilivyo mikoa mingine nchini.

15Jun 2016
Restuta James
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

LEO macho na masikio ya Watanzania yataelekezwa bungeni Dodoma ambako Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, atakapokuwa anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2016/17....

15Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BUNGE la Jamhuri ya Tanzania linaundwa na wabunge kutoka vyama mbalimbali vya siasa wakiwamo wa kuchaguliwa majimboni, viti maalum na wale walioteuliwa na Rais.

14Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA” ni kauli ya wahenga ambayo maana halisi imejificha na kuwafanya watu watumie akili ya ziada kutambua inachomaanisha.

14Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NAHISI mvurugiko mkubwa wa lugha ya Kiswahili huko twendako. ‘Bidii’ inayofanywa sasa na waandishi wa habari za michezo yathibitisha wasiwasi wangu.

13Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI iliyopita Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitangaza kalenda ya usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Bara na Ligi Daraja la Pili.

12Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Jicho Pevu

NIMESIKA uongozi wa klabu ya klabu ya Azam FC wakisema kuwa wanapeleka mapendekezo Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kuomba kuongezwa kwa wachezaji wa kigeni kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao...

12Jun 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

KIFUA kikuu (TB) ni ugonjwa wa kuambukiza ambao mara nyingi hushambulia mapafu. Maradhi haya husababishwa na bakteria wajulikanao kama Mycobacterium tuberculosis (MTB).

12Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

MWAKA 2010 Tanzania ilikuwa inashika nafasi ya pili kati ya mataifa 141 duniani yenye vivutio vya uhifadhi wa mazingira asilia ya kitalii, ikitanguliwa na nchi ya Brazil.

12Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni Kikosi cha Usalama Barabarani kilitoa takwimu zake kuhusu kuongezeka kwa makosa ya usalama barabarani, ikiwamo yanayotokea katika Barabara za Mabasi yaendayo Haraka (BRT), jijini Dar...

Pages