SAFU »

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na timu yake waliwahi kufanya ziara katika mikoa mbalimbali kwa lengo la kuimarisha chama hicho tawala.

KWANZA nianze kwa kumpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, kwa kuja na mikakati mingi ya kuwawezesha wananchi wa Kinondoni.

HIVI karibuni tumepata taarifa za utafiti uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusiana na kubakwa kwa wasichana na askari wa jeshi la serikali ya Sudani Kusini na baadaye kulazimishwa kuingia kwenye...
KARIBUNI tena kwenye safu hii ya ‘Tujifunze Kiswahili.’ Lengo ni kuelimishana kuhusu matumizi sahihi ya maneno na upangaji wa sentensi zinazoeleweka kwa wasomaji.

KWA mara ya tano msimu huu, mechi baina ya Azam FC na Yanga imeshindwa kutoa mbabe ndani ya dakika 90 baada ya juzi timu hizo kutoka sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
.jpg?itok=nfwjwDzv)
MPENZI msomaji, wiki iliyopita tulimsikia jinsi Jane Mwisenge, raia wa Burundi alivyotoa ushuhuda wake wa uvutaji sigara kupindukia. Alianza na vipisi viwili vilivyoisha vya sigara,

KWA kweli ni aibu na fedheha kuona barabara zilizojengwa kwa gharama kubwa, zikigeuzwa dampo la kutupa taka.
Tabia hii ya kutupa taka katikati ya barabara, ilianza kuibuka taratibu, lakini...
MILIPUKO ya mabomu ya kutengenezwa kienyeji imekuwa ni kitu cha kawaida mjini Zanzibar lakini kinachoshangaza wahusika wa vitendo hivyo hawakamatwi.

Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walikutana jijini Arusha mapema wiki hii na kuamua mambo mbalimbali, ikiwamo kupiga marufuku uagizaji wa bidhaa za mitumba ili kuinua...
‘UTI’ ni maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo ni kifupisho cha maneno ya kitaalamu ya Urinary Tract Infection. Maambukizi haya hutokea katika sehemu yoyote ya mfumo wa mkojo kama figo, kibofu...
NASHINDWA kupata picha sahihi au uhusiano uliopo kati ya Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam.
KUTOKANA na baadhi ya wanasheria na wataalamu kutumiwa na mafisadi kama nepi na kuingia mikataba michafu kama ule wa IpTL na TANISCO, Mlevi, kwa akili zangu timamu, bila kulazimishwa na yeyote wa...
Tunaendelea tena wapenzi wasomaji wa safu hii ya ‘Mtazamo wa Kibiashara’ na mada inayohusu uwekezaji kwenye hati fungani au dhamana za serikali kwa lugha nyingine.