SAFU »

31May 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni Kamati ya Fedha ya Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni, walitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika taarifa iliyowasilishwa na watendaji ilionyesha ipo katika hatua...

30May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAYARI Bodi ya Ligi iko kwenye mchakato wa kutengeneza kanuni mpya za msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17.

29May 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya majaribio ya wiki kadhaa, hatimaye mradi wa mabasi yaendayo haraka umeanza na tayari kwa kiasi fulani umeonyesha jinsi gani kero ya foleni itakavyopungua jijini Dar es Salaam.

29May 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

SERIKALI ya Kijiji cha Sanya, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro, hivi karibuni imefikia umauzi wa kutangaza adhabu ya kuchapwa viboko na kutozwa faini kwa mtu yeyote atakayekutwa baa na mtoto...

29May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo tunaangalia sehemu ya pili ya mada yetu kuhusu vyanzo vya matatizo ya ndoa nyingi ndani ya jamii yetu.

28May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ALIYEFIKA mahali mbele yako hupaswi kumwambia akupishe au akuachie nafasi. Ni methali inayotufunza umuhimu wa kuwahi mambo au shughuli yoyote tunayodhamiria kufanya.

28May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

ZAMANI nikisikia ule mpasho wa viumbe wazito ni kama ulikuwa unanipiga chenga sikuelewa.

27May 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Mjadala

ELIMU ndio msingi pekee muhimu wa kuweza kuutumia kikamilifu ili kuingia katika maisha na kuyaendesha kwa misingi ya mafanikio ya uhakika.

27May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

ILI kufanikiwa kwenye jambo lolote maishani na kulifanya vizuri ni lazima ujifunze.

27May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Maisha ya zama hizi ni kwamba, matumizi ya vyombo vya usafiri ikiwamo barabarani ni ya lazima kabisa.

26May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA miji mikubwa nchini ufagiaji wa barabara kubwa na za mitaa mbalimbali ni jambo muhimu na halikwepeki au kuahirishika.

26May 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

UZALISHAJI wa bidhaa mbalimbali unaendelea nchini Tanzania na duniani kwa ujumla.

25May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kwa kusema kwamba sina uthibitisho kuhusu tuhuma za ulevi zilizosababisha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, kutenguliwa kwenye wadhifa huo.

Pages