SAFU »

09Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

TOLEO la gazeti hili Januari 26, 2016 niliandika makala niliyoipa kichwa “Nawachokoza magwiji wa Kiswahili” nikiuliza maswali matatu.

08Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DONDOO MUHIMU:
Kama kweli TFF imedhamiria kukomesha kadhia ya rushwa na upangaji matokeo ya soka nchini, ninafikiri kuna haja shirikisho hilo kuwafungia maisha na kuwafikisha kwenye vyombo...

07Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

Katika kongamano la kupinga ukeketeji kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu lililofanyika Singida mwishoni mwa wiki hii, imebainika kuwa baadhi ya mila hukeketa hata watu waliokufa.

07Feb 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, yapo mambo mengine ukiyasikiliza unabakia kucheka badala ya kusononeka. Ndipo ninapojiuliza; tutaondokana na vifungo hivi lini?

07Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kwa kuelezea kidogo maana ya neno uzalendo; kwamba ni hali ya mtu kuipenda na kuithamini nchi yake na kuweka maslahi ya taifa lake hilo mbele. Neno hili ni dogo lakini maana inayobebwa na...

07Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

SARAKASI zinaendelea kwenye uchaguzi wa Meya wa Manispaa za Temeke, Kinondoni na Jiji la Dar es Salaam, huku kinachoangaliwa kikiwa siyo haki ya chama chenye madiwani wengi kuongoza, bali nguvu ya...

07Feb 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

Katika sehemu ya kwanza Jumapili iliyopita, tuliona madhara ya kutomaliza dozi ya dawa ambazo mgonjwa ameandikiwa na daktari na kupewa kwenye dirisha la dawa.

06Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAJUA kilichotokea siku ya kwanza ya duru la pili la Ligi Kuu ya Vodacom katika majiji ya Tanga na Dar es Salaam?
Jijini Tanga hususan kwenye uwanja maarufu wa Mkwakwani, wenyeji Coastal...

05Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAKAZI bora ni yale yanayojitosheleza katika miundombinu hata kuwezesha kila aina ya taka inayozalishwa kuhifadhiwa ama kutupwa katika sehemu maalum kwa ajili hiyo.

04Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BARABARA ya New Bagamoyo jijini Dar es Salaam inayopanuliwa kipande kifupi chenye urefu wa kilomita 4.3, kutoka Mwenge-hadi Morocco ujenzi wake upo katika hatua za mwisho.

03Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

SERIKALI imetangaza kutotangazwa moja kwa moja kwa sehemu yote ya vikao vya Bunge linalofanyika mjini Dodoma kupitia Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), lengo likielezwa kuwa ni kupunguza...

03Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA zaidi ya miwili iliyopita, serikali ilianzisha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na kuipa jukumu la kukusanya taarifa kwa lengo la kutambua watu wanaoishi nchini kwa kushirikiana na...

02Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Tesa

"NAMSHUKURU sana msadizi wa ndani wa nyumbani kwetu, Jenina Mdede, amenisaidia mambo mengi katika maisha yangu hususan kwenye masomo. Alinipa msukumo mkubwa wa kusoma na kunitaka kila nitokapo...

Pages