SAFU »

13Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU aanze kazi mara baada ya kula kiapo Novemba 5 mwaka jana, Rais John Magufuli, ameendelea kutimiza wajibu wake kama alivyoahidi kuwatumikia Watanzania bila woga wala kuwaona huruma wale ambao...

13Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetoa tamko linalojiekeleza katika `msimamo mkuu’ wa chama hicho baada ya uchaguzi wa marudio wa Machi 20.

12Apr 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Nimekuwa nikisoma maoni mbalimbali kuhusu umuhimu wa kuwepo au kutokuwepo kwa elimu ya afya ya uzazi kwa wanafunzi na vijana wa chini ya umri wa miaka kumi na nane.

12Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA za masika zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini kwa mujibu wa Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini (TMA).

12Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘LUGHA’ ni mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambao hutumiwa na watu wa taifa au kundi fulani kwa ajili ya kuwasiliana. Pia ni maneno na matumizi yake; mtindo anaotumia mtu katika...

11Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YANGA na Azam FC mwishoni mwa wiki iliyopita zilikuwa dimbani kupeperusha bendera ya nchi katika mashindano ya klabu Afrika.

11Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

IMEBIDI sasa serikali kuingia kati suala la uchaguzi wa klabu ya Yanga.

10Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WATU wengi wamepata vidonda vya tumbo na wanafikiria kuwa vimesababishwa na mawazo ama kula vyakula vyenye pilipili na asidi, inawezekana lakini pia si lazima.

10Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWISHONI mwa Februri Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob alimtaka aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda kuacha kuingilia majukumu ya...

10Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, mwezi uliopita Machi 13, niliandika hapa makala iliyobeba kichwa cha maneno;- Ijue nguvu iliyo ndani ya mwanamke!

09Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya wale ambao hukuwatarajia kutumbuliwa tena mchana kweupee na wengine kuhamia lupango, Mlevi nina mpango wa ima fa ima wa kwenda mjengoni au kwa Dokta Joni Kanywaji Makufuli kuwachomea...

09Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RUSHWA sasa imechafua damu ya Watanzania na kuwa kirusi cha dondandugu/banguzi (kidonda kikubwa kinachochukua muda mrefu kupona kwa urahisi).

08Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

TUNAENDELEA tena na mada ya uwekezaji kwenye dhamana za serikali, ambayo tumekuwa nayo kwa wiki kadhaa sasa katika safu hii ya ‘Mtazamo Kibiashara’.

Pages