SAFU »

21May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

KISA cha hivi karibuni cha afande mmoja kukataa kunyanyaswa kwa utaratibu wa ‘husband’ na limbukeni mmoja kutaka kutumia ukubwa wa bedroom, kimenilazimisha kuandika makala hii.

20May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

KIMSINGI watu hufanya kazi kila siku ili waweze kupata fedha ya kuendesha maisha yao na ya wale wanaowategemea.

20May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

VITUO vya daladala katika barabara kuu za maeneo tofauti ya miji hasa katikati ya miji, jiji yaashiria umuhimu wa ujenzi wa vituo vya umbali fulani toka barabara kuu kwa ajili ya usalama wa magari...

19May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUZIDISHA uzito wa mzigo kuna athari nyingi kwa magari, wazalishaji wa bidhaa hasa wakulima ambao hukandamizwa na wanunuzi wa mazao yao kwa bei ya jumla.

19May 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Mjadala

KWA muda muda mrefu sasa, wafanyabiashara ndogondogo jijini Dar es Salaam wamekuwa wakifanya bishara zao katika maeneo yasiyo rasmi na mkakati wa kuwaondosha katika maeneo hayo umekua unagonga...

18May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI takribani miezi saba tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mpaka sasa amekwishafanya mambo mengi ambayo hakika anastahili pongezi ingawa safari yake bado ni ndefu.

18May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni wamiliki wa shule binafsi elimu msingi walianzisha chama chao cha Tanzania Association of Private Investors in Education (Tapie), ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za serikali...

18May 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

MOJA ya mambo yaliyoniweka katika hali ngumu ya kupata jawabu kuhusu ari ndogo kwa watu kulipa kodi nchini, ni kwanini Mamlaka ya Mapato (TRA) ‘ilishindwa’ kutimiza hitaji la elimu kwa umma.

17May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LUGHA ni mtindo anaotumia mtu kujieleza. Tunapotumia maneno yasiyokuwamo kwenye msamiati au kuandika na kutamka tofauti, tunaharibu lugha.

17May 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

ILI wasomi kuweza kujiajiri kunahitajika mabadiliko makubwa sana katika mtindo wa kufundisha na kupata elimu.

17May 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Miongoni mwa matatizo yanayoikabili nchi yetu ni migogoro ya ardhi ambayo ni sugu na inaota mizizi kila wakati, huku utatuzi wake si wa mafanikio sana.

16May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

IWAPO JKT Ruvu ya Pwani juzi ingeifunga Mgambo Shooting, moja kwa moja 'Maafande' hao wa jiji la Tanga wangekuwa wameteremka daraja.

15May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI iliyopita tulichambua ugonjwa wa kisukari na aina zake, leo tuangalie madhara yaletwayo na maradhi haya.

Pages