SAFU »

13May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

KATIKA safu hii wiki iliyopita , tuliangazia fursa ya uwekezaji wa hati fungani zilizotolewa na benki ya NMB, kwa wananchi wa kada zote za maisha pamoja na wafanyabiashara.

12May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USAFIRI wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) umeanza wiki hii kwa majaribio ili kuwapa fursa watumiaji wapate uzoefu wa matumizi ya mfumo mpya wa usafiri jijini .Unatarajiwa kuanza rasmi...

11May 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NI wazi kwamba kazi zinazofanywa na serikali ya Rais John Magufuli, zinakubalika miongoni mwa watu wa kada ya chini.

11May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni Spika wa Bunge, Job Ndugai, aliwatangazia wabunge kuwa Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma inatarajia kupeleka muswada wa sheria bungeni ili kutenganisha biashara na uongozi.

11May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Mjadala

NI takribani miezi saba tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mpaka sasa amekwishafanya mambo mengi ambayo hakika anastahili pongezi ingawa safari yake bado ni ndefu.

10May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“KULIMA ni bangu, kazi ni tunga yataka mwengwangu wa kwenda na kuja. ‘Bangu’ ni faida au vita na ‘mwengwangu’ ni mwepesi. Maana yake kulima ni faida, kazi yataka mtu mwepesi wa kwenda na kurudi....

10May 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

TAARIFA za utafiti uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusiana na kubakwa kwa wasichana na askari wa jeshi la serikali ya Sudani Kusini na baadaye kulazimishwa kuingia kwenye makazi yao na nyumba...

10May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LUGHA ya Kiswahili inakua kwa kasi na kutambuliwa katika sehemu nyingi za dunia.Inafundishwa, kuzungumzwa na kuandikwa katika vyuo mbalimbali vikiwemo vyuo vikuu vya mataifa makubwa yaliyoendelea...

09May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAONA kama haitaki kubaki kama Azam FC. Inataka kuwa kama klabu za Simba na Yanga. Sifa za kuwa na mashabiki wengi nchini wasioisadia lolote lile zaidi ya kushangilia inaonekana imewakolea mno...

08May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

NI ugonjwa unaoathiri namna ambavyo mwili wa binadamu unavyotumia sukari iliyopo kwenye damu au glukosi ambayo ni muhimu kwani ndiyo chanzo kikuu cha nguvu katika chembe hai.

08May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, bado tuko kwenye swali kwamba ‘Nini maana ya Ndoa’ ambapo kwa tafsiri nyepesi nilisema ni muungano kati ya mwanamke na mwanaume unaokubalika kiutamaduni na kidini ambao unatarajiwa...

08May 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWISHONI mwa mwaka jana ripoti za wachumi zilionyesha Tanzania inapoteza Sh. bilioni 4 kila siku kutokana na foleni za magari zinazosababisha watu kuchelewa kufika kwenye shughuli zao za kila siku...

07May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

FURIKO la juzi lililolipiga jiji la Bongolala limenifanya niichukie Bongo niliyoipenda kuliko hata bi mkubwa. Mwenzenu naamua rasmi kubwaga manyanga.

Pages