SAFU »

19Apr 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

INANISHANGAZA zaidi kuwa, siku hizi kigezo kikuu cha mafanikio katika elimu kimeanza, na kubakia kuwa idadi. Tumetengeneza madawati kadhaa, tumedahili wanafunzi kadhaa,

18Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

YANGA inahitaji ushindi wa aina yoyote au sare ya kuanzia 2-2 ugenini ili kutinga hatua ya makundi ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo utakaofanyika...

17Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

IWAPO mwanao ana tatizo la kujisaidia kwenye nguo licha ya kwamba ana umri ambao alitakiwa kutumia choo fahamu kuwa hilo si jambo jema kuna hitilafu zinazohitaji kushughulikiwa.

17Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo hebu niwape siri mbili zinazoonyesha umuhimu wa wa jiko kwa mwanamke. Kama kuna kitu ambacho wanawake wengi wamekuwa wakipuuzia ni jiko, hasa katika suala zima la kumwandalia...

17Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ya Mkoa wa Dar es Salaam imepanga kwamba leo ndiyo mwisho wa kuonekana kwa ombaomba wanaokaa kandokando ya barabara za jiji hilo.

16Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI timu gani ya kandanda duniani isiyofungika? Hebu nitajiwe moja tu ambayo tangu ilipoanzishwa haijapoteza mchezo wowote.

15Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

VIJANA ni nguvu kazi la kila Taifa duniani. Hiyo inatokana na uwekezaji uliowekwa kati ka jamii ya vijana na kuwapo mazingira rafiki na inayojiwezesha.

15Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WAPENZI wasomaji wa safu hii leo, tunahitimisha safari ndefu tuliyoianza kwa wiki kadhaa, ambayo tuliangalia kwa upana jinsi ya kuwekeza kwenye hati fungani za serikali.

14Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

“TUMEZOEA…. ni sehemu ya maisha yetu sasa.Ukitaka kwenda sehemu ni lazima uondoke nyumbani lisaa limoja kabda ili ufike kwa wakati unakokwenda,”

13Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni serikali ilitangaza kubaini wafanyakazi hewa zaidi ya 7,800 katika ngazi mbalimbali nchini na kuanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahusika.

13Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU aanze kazi mara baada ya kula kiapo Novemba 5 mwaka jana, Rais John Magufuli, ameendelea kutimiza wajibu wake kama alivyoahidi kuwatumikia Watanzania bila woga wala kuwaona huruma wale ambao...

13Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetoa tamko linalojiekeleza katika `msimamo mkuu’ wa chama hicho baada ya uchaguzi wa marudio wa Machi 20.

12Apr 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Nimekuwa nikisoma maoni mbalimbali kuhusu umuhimu wa kuwepo au kutokuwepo kwa elimu ya afya ya uzazi kwa wanafunzi na vijana wa chini ya umri wa miaka kumi na nane.

Pages